Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

"Kama mungu muumbaji hataki kukosolewa basi naye ni mbinafsi"

HUU NI MSIBA MKUBWA.
1.Unatoa wapi ujasili wa kumuita muumbaji ni mbinafsi?
2. Uhuru wa kumuita muumba mbinasfi umeutoa wapi?
3. Hiki kiburi cha kumuita muumbaji mbinafsi unatoa wapi?

NB: Ndugu muandishi binadamu wote hatujakamilika yaani tunamapungufu ispokua muumba peke yeke, kutoa maon haukatazwi ila kuwa na mipaka na hapa ndio utawaona WAISLAM ni wabinafsi [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Hao ni wapumbavu mkuu.

Wao waislamu wanakula usiku kucha.

Wakristo wanakula mchana hapo kuna shida gani?????

WAISLAMU WANASHINDA NA NJAA MCHANA USIKU WANAKULA.
WANABADIRI RATIBA YA CHAKULA NA SIO KUFUNGA.
 
usichukue aya moja ukaleta hapa kuthibitisha msemo wako. Hiyo aya ina sababu zake kwa nini ilisemwa hivyo, na ni wakati gani ilisemwa hivyo (yaani huna background information kwa nini aya hiyo imesema hivo)
Mkuu mpaka naileta naijua..
Na mpaka naweka najua..
So ameuliza Aya hakutaka uchambuzi wa Qurani..
Maaan hata uchambuzi pia ninaweza kutoa
 
Uhalifu mbona upo mwingi tuh,sema mmeachwa muendelee kufanyiwa,wewe toka lini kuuziwa mchanga wa upako na mwamposa kusiwe uhalifu wa kidini?

Biashara tangu lini ikawa uhalifu?
Unajua maana ya uhalifu?
Biashara Katika dini hata kwenye uislamu ipo. Ndio maana kuna zaka na sadaka ambayo ni biashara ndani ya Dini.
 
Huo ni ukweli 100%
Quran 5:51 (Suratul Maida aya ya 5)
View attachment 2947947
Exactly,by the time Qur an inashuka waislam walikuwa wachache na watu ambao walikuwa wanapigwa vita sana,ya wazi na ya Siri...so wayahudi na makafiri wengine hawakuwa radhi kuona watu wanasilimu Kwa wingi na kuufuata uislam, kwahiyo walikuwa wanafanyiwa visa vingi...unaweza mfanya vipi adui kuwa RAFIKI?

Hata kwa Sasa,makafiri wengi mioyoni mwao hawawapendi waislam,dunian kote,Sasa MTU ambae hakupendi utamfanya vipi kuwa RAFIKI...
 

Acha uongo. Uyahudi na ukristo haukuwahi kuwa kikwazo nyakati za mwanzoni mwaka uislamu.
Bila ukristo na Uyahudi hakuna Uislamu.
 
usichukue aya moja ukaleta hapa kuthibitisha msemo wako. Hiyo aya ina sababu zake kwa nini ilisemwa hivyo, na ni wakati gani ilisemwa hivyo (yaani huna background information kwa nini aya hiyo imesema hivo)
Ebu tueleweshe wewe uliyeelewa walikua wanamaanisha nini?vinginevyo kapikie bwana ako futar mapema kabla hajakuongezea mke wa nne.
 
Mkuu mpaka naileta naijua..
Na mpaka naweka najua..
So ameuliza Aya hakutaka uchambuzi wa Qurani..
Maaan hata uchambuzi pia ninaweza kutoa

Ni kweli Kwan uongo?mfano jiulize moyoni mwako,wewe unampenda muislam?ni wazi kbs hata wewe mwenyewe ni shahidi kuwa una chuki na Uislam,qur an inachotueleza ni kwamba most of you mnatuchukia sisi waislam bila kosa lolote,kosa letu ni KUTAMKA kuwa hakuna Mungu anapaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu Mmoja Muumba wa mbingu na ardhi,nyinyi Hiko hamtaki na mna kinyongo na sisi,so qur an inatupa tahadhari tusiwanye kuwa ni wasiri wetu,kwani mliliyoyaficha vifuani mwenu ni vizito.
 
UNajua kwanini Hiyo aya imeanza na "Ya ayyuhallazina amanu (in arabic: يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُو) ???

Suratul Maida imeshuka mwishoni mwa Mwaka wa 6 Hijririya mpaka mwanzoni mwa 7 A.H..

Kipindi cha Mkataba wa Hudaibiya Kipindi hicho kulikuwa na Idadi ya kutosha ya Uislamu huko Madina..

Na kipindi ambacho hakukuwa na waislamu wa Kutosha (Nazungumzia Makka)..

M/Mungu alitumia Lugha ya ayyuhannasu na sio hiyo alotumia hapo
 

Hizo ni hisia zenu na kutokujiamini kwenu, Uduni.
Hakuna anayewachukia Waislamu isipokuwa tabia yao ya kutaka kuleta ubinafsi na Watu waone kama wanavyoona wao.
 
Ebu tueleweshe wewe uliyeelewa walikua wanamaanisha nini?vinginevyo kapikie bwana ako futar mapema kabla hajakuongezea mke wa nne.

Alichomaanisha ni kuwa Qur an siyo mahubiri ya mwamposa,Aya Moja ni muendelezo wa Aya nyingine,haijaishia hapo tuh alipooshia.

Hata hivyo Qur an ilichofanya ni kutupa uelewa sisi waislam kuwa makafiri by nature hawatupendi na Wana chuki na sisi waislam, kwahiyo tukae nao Kwa UMAKINI na tusiwafanye kuwa ni wandani wetu au washirika wa kuwapa siri zetu...na bila shaka Qur an Iko sahihi katika Hilo.
 
Mkuu Mimi as Ex-Muslim, Ex-Christian, and Ex-Judaism..

Nasema kuwa Sina chuki na Yoyote kati ya hao..
Ilikuwa ni mapito mazuri sana ya kujifunza upendo
 
Ndugu muandishi haya tuambie UTAMKOSOA NINI MUUMBAJI wewe ni dongo tu ambalo likitolewa pumzi halina thamani tena kwa mtu yoyote hata huyo mkeo hatokubali kuwa karibu nawe tena, pumzi isikutie kiburi na kuvuka mipaka ndugu.
 
''yaa ayyyuhallazina amanu'',,ni sahihi tuh kutumia hapo,na Wala siyo hoja ya kuweka kikao,ni enyi mlioamini msije kuwafanya hawa makafiri kuwa RAFIKI zenu,kwakuwa wapo watu walikuwa wanajifanya wameamini,lakini Kwa upande mwingine ni wanafiki wanashirikiana na makafiri kuwamaliza waislam.

Wakiwa pamoja na waislam wanasema sisi tumeamini,baadae wakitoka wakiwa na makafiri wenzao wanasema sisi hatujaamini Wala Nini,yaani tuamini kama wanavyoamini wale wendawazimu Kuwa eti Mungu ni Mmoja?sisi tunawacheza shere tuh,tunawachora tuh wale waislam,so Hali ilikua ni hivyo,sisi waislam tunapaswa kutowafanya makafiri kuwa washirika au tunatakiwa kukaa na nyinyi Kwa akili Kwa kuwa tunajua njyinyi mnatuchukia.
 
We familia yenu yote ni waislamu,hamjachangamana na makafiri na wapagani kabsa?
Nna wasiwasi sana hii dini imejaza ma physcopath na mnaongoza kwa kuwa na inferiority complex
Hata wee siku ukipata mpenyo uko tayari kuua wanaokuzunguka kwa vile sio waislam kama wewe.
No wonder juzi mmepiga risasi watu kule Russia huku mkijidai mmefunga na kufuturu damu za watu.Huku mnataja Allah Akhbar.Shame on you.
 
Ebu tueleweshe wewe uliyeelewa walikua wanamaanisha nini?vinginevyo kapikie bwana ako futar mapema kabla hajakuongezea mke wa nne.
mimi siyo mtaalamu lakini najua kuwa aya huwa zinafuatana kwa mantiki fulani, ndiyo mana nikasema aya moja tu haijitoshelezi kuleta maana kamili.

Na hiyo ya kuongezewa wake wengine wala siyo issue, kwani nyinyi si kila siku humu munajisifu muna side chicks wangapi, tena wengine michepuo ndiyo wanayoishughulikia zaidi kuliko hata hao wake zao. Halafu munachukua hata hao watoto wa michepuo kumpelekea mke nyumbani ati amlee, he! bila ya aibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…