Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika


Jee pale mtaani kwenu akatokezea binadamu mwanamke akazaa mtoto wa kiume na baada ya siku nane wakaja binadamu na kumtahiri huyu mtoto baadae alipokuwa mkubwa akaitwa mungu mkuu na muokozi wa waliomtahiri??? Baada ya muda kupita huyu mungu akakamatwa akasulubiwa na baadae akafia kwenye msalaba na waliofanya Hays ni wanadamu ambao yeye mwenyewe kawaumba.???

Jee hii ni akili kweli? Na huyu anaesema mungu wake kafa msalabani kwa ajili ya kubeba dhambi zake jee huyu anaakili timamu????
 

Nafikiri farsafa nzuri ni lile usilolipenda wewe usimfanyie mwenzio. Hapo ninavyojua mimi Znz hakuna chakula kinachouzwa hadhwarani mwezi huu wa Ramadhwani na mahoteli mengi ya wazi yanafunguliwa baada magh'rib.

Nilipo Underline.

Huwezi kuendelea kwa kuvumiliana. BALI SIKU ZOTE TUNASISITIZA MNATAKIWA KUHISHIMIANA NA SIO KUVUMILIANA. Na kama utahishimu mila desturi na sirka za waZnz wakti ukiwa Znz basi wewe utakuwa huru sana na jamii hiyo bali UKITEGEMEA WAKUVUMILIE KWA KUVUNJA MAADILI MILA NA DESTURI ZAO basi cha moto laaaazima ukipate. Kwani penye hishma kunakuwa hakuna maskhara wala mchezo mchezo bali kila kitu kinatendeka kwa uadilifu.


 
Katiba yao ipi hiyo? ibara ya ngapi inasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu? usipotoshe watu hapa mkuu.

Kwani kila kitu laazima kiandikwe kwenye katiba?

Kwanini ujiulizi huko Tanganika Mwaka wa Serikali unaanza 1st of July. Jiulize na yale mapambo ya x-mas trees na mengineo mwisho wa mwaka kwa maana December kwenye taasisi na wizara za Serikali ya JmTz yanatoka wapi? na inatumika bajeti kabisa ya Serikali ya JmTz.

 
Hivi kwa nini wafuasi wa gaidi wanashbikia ugaidi? Kweli shatani ana nguvu!

Kwani wewe unajua leo shetani ana nguvu! Huoni akina Gwajima, Kakobe na wengineo wanavyotajirika kwa mahubiri ya shetani???

Umeona wapi viwete feki, misukule feki ikawaharibu watu akili hadi wakakubali kuwa hawa mashetani wanauwezo wa kufufua misukule na kuponya viwete??? Mbona mitaani tunao viwete wengi ambao tunawajuwa lakini hatuoni kuponywa!!!! Au ndio ule msemo wa wajinga ndio waliwao?
 

Mwana Tabora mwenzangu jitahidi sana kujiongeza na kufikiria nje ya box. WASOMI TUNA FARSAFA MOJA NAYO NI '' KUHISHIMIANA NA SIO KUVUMILIANA''.

Unapokwenda kwa mtu yoyote unatakiwa kuhishimu mila desturi na sirka zake lakin si kuzifuata kama zinakwenda kinyume na zako.

Kwa mantiki hiyo ukiwa kwa watu wasio wa iimani yako basi hishimu mila desturi na sirka zao hata kama zinakuwa kinyume na wewe LAKIN USIZIFUATE.

Hizo ni busara za bure mkuu.

 
Tusi hapa liko wapi? Eti waislam wenzangu, mtume mohamad hakumposa bi aisha akiwa na umri wa miaka SITA? (Je hili ni tusi?). Je hakumwingilia akiwa na miaka TISA? (Je tusi liko wapi hapa?).

mi mwenyewe sioni tusi kabisa ni sawa na mungu kuvaa boxer au nepi na kutundikwa juu na binaadam aliowaumba na kuanza kumlilia mungu wa ukweli na kumwambia mbona umeniacha?
 
Waialam na wakristo wana haki ya kula mchana nje kama waislam walivyo na haki ya kufuturu nje kama sheria zinafuatwa tanzania. Alie chapwa anaweza kwenda maakamani kuishitaki serekali kwa hili

Labda ufanye hivyo huko Dar Moro au Arusha lakin ukivuka bahr na kwenda unguja au Pemba cha moto utakiona. Kumbuka kuwa Znz ni nchi kamili kabisa na wananchi wake wana mila Desturi na Sirka zao..

Na siku zote Katiba za nchi haziwezi kwenda kinyume cha mila desturi na sirka za raia wa nchi hiyo.

Pole sana

 

yerico once again ! hivi wewe aliyekwambia mkristo kavamiwa na kupigwa ni nani? je huko znz wakikuta muslim anakula mchana wa ramadhani tena nje huwa wanamfanyaje?
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya kunyimwa kuingia kwenye kanisa(private place) ukiwa umevaa kimini na kuzuiwa kula kwa mamamtilie (public place) na kuwa assaulted kwa kuchapwa viboko. Shirikisha ubongo we mburula

Lakin wote wana nia moja tu iwe private au public. Je unaijua dhumini la zuio hilo ni nini?

 
Kama kuna mpuuzi na mdini humu jamvini wewe unaongoza.Always unaAttack Muslims tu.Ramadhan imeanza kufungwa leo znz?Usiwe kama mkasi hukati mpaka ushikwe nyuma wee.
 
Ipo sheria ya kutokula hadharani wakati wa Mwezi wa Ramadhani, na unapokamatwa ukifanya hivyo, adhabu yake ni kwenda jela kwa mwaka mmoja. Hii ya kuchapa makobe bakora ni mpya na inabidi kukemewa kwa nguvu zote!
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya kunyimwa kuingia kwenye kanisa(private place) ukiwa umevaa kimini na kuzuiwa kula kwa mamamtilie (public place) na kuwa assaulted kwa kuchapwa viboko. Shirikisha ubongo we mburula
Hapa wewe ndio mburula, toka lini kanisa likawa private place?
 
busara itumike katika hili hekima na maarifa pia kwa muono Wang kufunga ni hiyar ya mtu na kuwapiga wanakula si sahihi wrote tuko chini ya sheria so suala la kufunga ni MTU na I man yake so kisa mtu kafunga awadhibu wengne hyo siyo iman Bali kushinda njaa
 
Mimi nashangaa hivi mwenzako kama imani yako si yake kwanini usimwache ?? Ina maana atakapokufa na kwenda motoni wewe unaumia nini au hasara kwa nani kama si yeye.yeye mfano hana dini utamlazimisha akuamini wewe,ifike mahali waislam mjitambue acheni chuki,mungu aliyeumba kafiri ndiyo kakuumba wewe kama alikuwa hampendi kafiri asingemuumba ,kingine mnalazimisha dini yenu kwa nguvu ndiyo maana mnakata watu koromeo,mfano mwingine yule mama Sudan kaamua aolewe mkristo yaani kiliwauma mnatamani na kujinyonga,wakristo wangapi wanaslim na kuolewa na magaidi mbona sijaona wkristo wakichukia ???
 
Wewe jamaa mnafiki sana tuambie hao wakirsto waliopigwa ni kina na wamepigwa maeneo gani.
 
Zanzibar ni nchi ya kiislamu ingawa haisemwi wazi! Ndo maana lukuvi alikataa mfumo wa serikali 3 ili waislamu wasiwe huru zaidi! Bila muungano ulioridhiwa na wananchi wengi, wakristo zanzibar wataendelea kunyanyaswa zaidi!
 
Hapa wewe ndio mburula, toka lini kanisa likawa private place?

Kwaiyo mtu akikuuliza sehemu gani public mukutane? Utamjibu kanisani au msikitini. Mburula kabisa. Ka-google public place image uone kama utaona kanisa au msikiti. Mburula kabisa
 
nachokizungumzia sheria za nchi zinazoruhusu kupiga mtu katika muungano huuu uliopo suala la Zanzibar ni nchi ya iman flan hilo halijawekwa that's Tanganyika pia haijazungumziwa Kuwa ni iman ya watu flan nachokiona katika hili ni kukosa moyo wa mafundisho sahihi na kujitwalia sheria mikononi narudia post yangu ukifunga wewe ustufanye kula kisa umefunga hii ni iman yako tusilazimishane
 
Aisee haya mashetani yakikufumania guest na ushungi girl si yatakata gongeo haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…