Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Kwanini itolewe?
Bado ipooo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini itolewe?
Hebu kidogo jaribu kuushirikisha ubongo wako; Leo hii pale mtaani kwenu ametokea babu wa miaka 45 ameoa mtoto wa miaka 9. Huyu babu anaomba apewe uongozi. Hivi kwa mwenye akili timamu unaweza kumpata hata ujumbe wa nyumba kumi kumi kweli! Kwanza utamchukuliaje akili zake. Ni mtu timamu kweli?
Tumuombe Mungu kipindi cha mfungo kikifika name atuchukue wrote tukafungie mbinguni kuepuka majaribu ya kidunia. Kati ya vitu muhimu katika kufunga ni kutimiza azma yako ya kufunga Vila kuingilua mfumo wa maisha ya wengine au kuukwamisha. Kwa nini kushinikizana na kuadhibiana kwa mambo ya hiari? Vipi kwa wenzetu ambao wamejiajiri kwenye huduma ya kuuza vyakula ili halo wao wamefunga? Waache kutoa huduma hiyo? Kisa amefunga! Halafu ayaendesheje maisha yake? Huoni kuwa mtoa huduma huyu 'makafiri' ndiyo nguzo ya maisha yake hapa? Acheni tabia ya kujidhani eti sisi no bira zaidi sababu ya imani yetu. Tuelewe kuwa imani ni swala LA mahusiano Kati ya Mungu na mwanadamu, ni swala LA kiroho.
Sisi Kama wanadam tuna maisha yet ya kuishi huku tukiimarisha upendo, na kuheshimiana na kuvumiliana.
Kinyume na hapo hakuna dunia ya wanadam, Bali in zizi lenye mchanyiko was nyoka, panya, paka, nguruwe, chui, mbuzi n.k
Katiba yao ipi hiyo? ibara ya ngapi inasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu? usipotoshe watu hapa mkuu.
Hivi kwa nini wafuasi wa gaidi wanashbikia ugaidi? Kweli shatani ana nguvu!
Kanisa haliendi mitaani na kuzuia watu kuvaa vimini. Msomi kama wewe mbona hili unalijua sana?
Mkienda Ulaya au USA na Ramadhani zenu, mnaona mabaya zaidi ya hayo ya Tanzania. Summer kama hii, watu wanakunywa pombe nje nje na hamlalamiki, Vimini nje nje na Vi-Tishrt vya kuchokoza. Mkifika tu Tanzania, mnajifanya mmekuwa watu wa dini. Mbona nchi kama Mali, Guinea, Senegal nk kwenye Waislaam wengi sana, hii kulazimishana haipo? Waliletewa sharia watu wa Mali, wakaipinga kwa nguvu zote. Wakadai kabisa, wao dini hakuna kulazimishana.
Fedha za mafuta zinasumbua watu. Nasubiri na sisi tuanze kuchimba na tuwe kama Angola - Misikiti (na Makanisa, Sinagogi ......) ni marufuku Tanzania. Halafu tutaona huyo Mungu, Jehovah, Budhah, Allah nk nk kama kweli atakufa. Mie naamini kuwa, yeye ana nguvu zaidi ha hahitaji kutetewa na kibinadamu alichokiumba mwenyewe na kukipa pumzi na leo kinajifanya eti kinaweza kumpigania Allh.
Tusi hapa liko wapi? Eti waislam wenzangu, mtume mohamad hakumposa bi aisha akiwa na umri wa miaka SITA? (Je hili ni tusi?). Je hakumwingilia akiwa na miaka TISA? (Je tusi liko wapi hapa?).
Waialam na wakristo wana haki ya kula mchana nje kama waislam walivyo na haki ya kufuturu nje kama sheria zinafuatwa tanzania. Alie chapwa anaweza kwenda maakamani kuishitaki serekali kwa hili
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga,
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao? Nao wafunge???
Nini tutarajie majibu ya wahanga hawa kama sio gharika? Serikali inasubiri kuunda tume baada ya mauaji??
Nimeisoma na kuipekua katiba ya Zanzibar kuona kama kuna kifungu kinachowapa haki waislamu kudhibiti uhuru wa watu wengine,
Zaidi nilitaja kujua kama Zanzibar ni nchi ya kidini au ni nchi inayotawaliwa kwakufuata sharia.
Sehemu mhimu ya katiba ya Zanzibar ni hii hapa, jioneeni kama ni haramu kula chakula hadharani nchini Zanzibar.
SURA YA KWANZA- ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
1.Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
3.(1) Kutakuwa na Muhuri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao alama yake itakuwa kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
(2) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa na uwezo wa kuweka kitu chochote kitachokuwa kielelezo cha Serikali kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
4. Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
5. Zanzibar itafuata mfumo wa Kidemokrasia wa Vyama Vingi vya Siasa wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki za binaadamu, usawa, amani, haki na uadilifu.
5A.(1) Zanzibar itafuata mfumo wa mgawanyo wa madaraka kati ya mamlaka tatu, Mamlaka ya Utendaji, Mamlaka ya Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki.
(2) Mamlaka ya Utendaji ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mamlaka ya kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma ni Baraza la Wawakilishi na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki ni Mahkama.
(3) Hakuna mamlaka itakayoingilia Mamlaka nyengine isipokuwa kama na kwa kadri ilivyoelezwa katika Katiba hii.
Kunatofauti kubwa sana kati ya kunyimwa kuingia kwenye kanisa(private place) ukiwa umevaa kimini na kuzuiwa kula kwa mamamtilie (public place) na kuwa assaulted kwa kuchapwa viboko. Shirikisha ubongo we mburula
Kama kuna mpuuzi na mdini humu jamvini wewe unaongoza.Always unaAttack Muslims tu.Ramadhan imeanza kufungwa leo znz?Usiwe kama mkasi hukati mpaka ushikwe nyuma wee.Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga,
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao? Nao wafunge???
Nini tutarajie majibu ya wahanga hawa kama sio gharika? Serikali inasubiri kuunda tume baada ya mauaji??
Nimeisoma na kuipekua katiba ya Zanzibar kuona kama kuna kifungu kinachowapa haki waislamu kudhibiti uhuru wa watu wengine,
Zaidi nilitaja kujua kama Zanzibar ni nchi ya kidini au ni nchi inayotawaliwa kwakufuata sharia.
Sehemu mhimu ya katiba ya Zanzibar ni hii hapa, jioneeni kama ni haramu kula chakula hadharani nchini Zanzibar.
SURA YA KWANZA- ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
1.Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
3.(1) Kutakuwa na Muhuri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao alama yake itakuwa kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
(2) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa na uwezo wa kuweka kitu chochote kitachokuwa kielelezo cha Serikali kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
4. Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
5. Zanzibar itafuata mfumo wa Kidemokrasia wa Vyama Vingi vya Siasa wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki za binaadamu, usawa, amani, haki na uadilifu.
5A.(1) Zanzibar itafuata mfumo wa mgawanyo wa madaraka kati ya mamlaka tatu, Mamlaka ya Utendaji, Mamlaka ya Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki.
(2) Mamlaka ya Utendaji ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mamlaka ya kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma ni Baraza la Wawakilishi na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki ni Mahkama.
(3) Hakuna mamlaka itakayoingilia Mamlaka nyengine isipokuwa kama na kwa kadri ilivyoelezwa katika Katiba hii.
Hapa wewe ndio mburula, toka lini kanisa likawa private place?Kunatofauti kubwa sana kati ya kunyimwa kuingia kwenye kanisa(private place) ukiwa umevaa kimini na kuzuiwa kula kwa mamamtilie (public place) na kuwa assaulted kwa kuchapwa viboko. Shirikisha ubongo we mburula
Wewe jamaa mnafiki sana tuambie hao wakirsto waliopigwa ni kina na wamepigwa maeneo gani.Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga,
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao? Nao wafunge???
Nini tutarajie majibu ya wahanga hawa kama sio gharika? Serikali inasubiri kuunda tume baada ya mauaji??
Nimeisoma na kuipekua katiba ya Zanzibar kuona kama kuna kifungu kinachowapa haki waislamu kudhibiti uhuru wa watu wengine,
Zaidi nilitaja kujua kama Zanzibar ni nchi ya kidini au ni nchi inayotawaliwa kwakufuata sharia.
Sehemu mhimu ya katiba ya Zanzibar ni hii hapa, jioneeni kama ni haramu kula chakula hadharani nchini Zanzibar.
SURA YA KWANZA- ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
1.Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
3.(1) Kutakuwa na Muhuri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao alama yake itakuwa kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
(2) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa na uwezo wa kuweka kitu chochote kitachokuwa kielelezo cha Serikali kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
4. Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
5. Zanzibar itafuata mfumo wa Kidemokrasia wa Vyama Vingi vya Siasa wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki za binaadamu, usawa, amani, haki na uadilifu.
5A.(1) Zanzibar itafuata mfumo wa mgawanyo wa madaraka kati ya mamlaka tatu, Mamlaka ya Utendaji, Mamlaka ya Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki.
(2) Mamlaka ya Utendaji ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mamlaka ya kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma ni Baraza la Wawakilishi na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki ni Mahkama.
(3) Hakuna mamlaka itakayoingilia Mamlaka nyengine isipokuwa kama na kwa kadri ilivyoelezwa katika Katiba hii.
Hapa wewe ndio mburula, toka lini kanisa likawa private place?