mpasuajipu99
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 678
- 120
Ukristu ulianzia Zanzibar kisha ukaenea Bagamoyo na pande nyingi za Africa Mashariki ni historia ambayo haitafutika. Kutokula hadharani ni jambo la busara tu kiheshimu dini za watu wengine ila hakuna sheria km hiyo. Hata ukienda sehemu wewe ukawa mgeni utasoma kwanza mazingira kabla ya kukurupuka na mambo yako. TUTUMIE BUSARA TU SI KILA KITU KIWEKEWE SHERIA NDIO UFUATE
Ipo sheria ya kutokula hadharani wakati wa Mwezi wa Ramadhani, na unapokamatwa ukifanya hivyo, adhabu yake ni kwenda jela kwa mwaka mmoja. Hii ya kuchapa makobe bakora ni mpya na inabidi kukemewa kwa nguvu zote!
Iweke hapa mkuu kama kweli ipo
Iweke hapa mkuu kama kweli ipo
Iweke hapa mkuu kama kweli ipo
Kwaiyo mtu akikuuliza sehemu gani public mukutane? Utamjibu kanisani au msikitini. Mburula kabisa. Ka-google public place image uone kama utaona kanisa au msikiti. Mburula kabisa
Kwa nini waisilamu huwa wanapagawa sana kwenye mambo ya misosi, hasa pilau? Isije ikawa ndio sababu ya kupata hasira kuona wengine wanawamalizia chakula mchana wakati wenyewe hadi wakisubiri usiku!
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?
Na anayetoa adhabu kwa mwenye kibri ni mwanadamu, sio Mungu! Ha ha haaa, dini ya allah yenye kutegemea hukumu itolewe na mwanadamu!
Kuheshimiana na kuvumiliana kwa dini zetu ni muhimu sana , kaka yangu huwezi kuheshumu bila kuvumilia ile hali ya utofauti wa dini hizi.Mwana Tabora mwenzangu jitahidi sana kujiongeza na kufikiria nje ya box. WASOMI TUNA FARSAFA MOJA NAYO NI '' KUHISHIMIANA NA SIO KUVUMILIANA''.
Unapokwenda kwa mtu yoyote unatakiwa kuhishimu mila desturi na sirka zake lakin si kuzifuata kama zinakwenda kinyume na zako.
Kwa mantiki hiyo ukiwa kwa watu wasio wa iimani yako basi hishimu mila desturi na sirka zao hata kama zinakuwa kinyume na wewe LAKIN USIZIFUATE.
Hizo ni busara za bure mkuu.
Tatizo lako wewe akili yako ni kama ya kuku.
Yani huna upeo wa kumbu kumbu na huna fikra zinazokufanya uweze kujitambaua.
Kama utakuwa na kumbu kumbu hii id ya jason bourne mods walishaiunganisha na id yako ambayo iko verified kwa jina hiki fake la nyerere kipindi unaongopea watu kuwa wewe ni usalama wa taifa lakini stil huoni kama una la kujifunza katika kitendo kile.
Jins ulivyokosa akili unaanzisha topic wewe mwenyewe isiyo na tija isiyo na mantiki kisha unakuja kujijibu wewe mwenyewe huku ukidhani watu hawatambui huo ujinga wako.
Sasa sijui huwa unawaza kitu gani.
Siku zote huwa tunawaambia kuwa hamna haja ya kutangaza vita na uislamu au waislamu nyinyi watu wa chadema kwa kujificha ficha.
Vita dhidi ya uislam na waislam haitawasaidia.
Upeo wako jins ulivyo finyu unadhani kwa kufanya huu upuuzi wako basi hutafahamika.
Tunakufahamu tunakupuuza na kukudharau.
People with sad destiny.
na kabla ya hapo alikuwa na miaka 25 "akaoa" mama wa miaka 40!
Ndio wanaoana wanaume kwa wanaume?Gaidi/Mbakaji yule alikuwa na vituko!!!! Ukisoma saikolojia utaelewa ni kwanini alikuja kuoa kijukuu. Alishaathirika kisaikolojia alipomuoa nyanya yake, akawa anatafuta baadae sehemu ya kudhihirishia ua naume wake. maana mwanzoni alikuwa kama ametawaliwa na bi mkubwa aliyempeleka kwa waraka Ibn Nahus(aliyekuwa mganga wa kieenyeji) ili akambashirie kuwa yeye ni mtume wa mnyaaaz m'ngu.
Sheria hii, haipo kimaandishi! Hivyo ni vigumu kuiweka hapa! Ni kama desturi iliyodumu miaka mingi sana sasa, kwamba ukishikwa unakula katika mwezi wa Ramadhani unafungwa hadi mwezi mwingine wa Ramadhani (Ni muda wa Mwaka mmoja).Iweke hapa mkuu kama kweli ipo
Ndio wanaoana wanaume kwa wanaume?
Maneno ya Allah,ni maneno Yenye uongofu ndani Yake,bila maneno ya Allah,hata wewe usingekuwako LEO,hivyo ulivyo.Umestrabika,na kuwa mtu unayejuwa utu,kutokana na kuishi na wanaofuata maneno ya Allah.Allah anapodanganya;
9:30 Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa! 30