Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #221
Ndio akili za mtu mweusi.Ni balaa , tena hao maofisa wa OSHA ndio wazee wa rushwa , wazee wa kubeba vibahasha vya kaki
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana KimbukikoKuna ajali za kutisha huko kwenye viwanda ,we acha tu , hata safety gears Tu ,Hamna
Kuna ajali nimewahi shuhudia mwanamke anagongwa na kuvunjwa mguu na yale meno ya fork lift za kubebea mizigo kutoka kwenye production line kwenda warehouse ,na hakupewa hata fidia au matibabu ya maana , ni ulemavu wa kudumu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
We jamaa fala kweli. Unadhan hesabu hiyo mm siijui?. Mshahara unasoma tarehe 30 net! Ukianza kazi tarehe 10 unakuja kupokea mshahara tarehe 10 wa siku 20 tu.Tumia akili. Hesabu ya darasa la kwanza.
Kama mwezi huu ukilipwa tarehe 10, na mwezi ujao ukalipwa tarehe 10. Hakuna mbaya hapo, siku 30 zimetimia.
Yaani ni hivi, mshahara wa February ukipata March 10, na mshahara wa March ukaupata April 10... Na salary ya April ukapewa May 10. Kihesabu ni siku 30 zimetimia.
Usikariri eti lazima mshahara upewe mwisho wa mwezi tarehe 30.
Inasikitisha sana
Mkuu,ndiyo maana magonjwa kama cancer yanaspidi kubwa katika jamii yetu,kuna kiwanda cha sufuria hapo Matumbi staki kukitaja jina,hali ni mbaya sana, OSHA wakienda wanaishia kwenye management tu wanachukua bahasha bila hata kufanya ukaguzi
Mwanangu mchawi buku 50 tu unapata kazi ya kifo pale ABC
Yes. Kuna kazi ni kifo kabisaHahaha unannunua kifo mamak
Mbongo anaweza ishi popote i vile kukosa connection na passportYes. Kuna kazi ni kifo kabisa
Yaani kazi ya kupack sulphur utoe hongo?
Kweli mbongo ni mtu hatari
Fact.....Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
And if you are not educated that's 2-0.
At this point you have no option than hustling like a donkey.
Kima cha chini ni 346000TSh, hiyo 5000 kwa siku ni nyingi Sana,Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.
Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.
Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.
Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
Tajiri ndio anautumia mfanano wake na Mungu, anatoa ajira, Kodi za kusaidia serikali kulipa mishahara, maskini ye ye ni kunya na kuvuta pumzi tu!Tajiri Kuuona Ufalme Wa Mbingu Ni Sawa Na Ngamia Kupita Kwenye Tundu La Sindano.
ukweli mtupu chiefHuko Mkuranga usiseme. Tatizo uhitaji mkubwa, unakuta kila siku watu wamejazana mlangoni wanasubiri Maforeman wawapoint.
Acha kupotosha watu kwa Zanzibar gani labour analipwa zaidi ya 20,000?Tutafute namna ya kuwasaidia hawa watu wetu,sio kila mtu anaweza kuwa na hilo shamba,tuishinikize serikali isikubali watu wake wanyannyaswe kiasi hiki,hawa ni nduguzetu na hii ni nchiyao,mbona Zanziber hakuna upuuzi huu??? Day works sio chini ya 20,000.
Unikumbuke mkuu, ndio kilichobakiNgoja nimalizie uchambuzi wa mechi za mwisho wa juma hili kwanza.
Kusoma sio suluhishobkwa maisha ya sasa maana wasomi wapo na hawana hata pa kushika kikubwa ni kukituma na ubunifu katika kaziMkuu hio upo dunia nzima, unaposikia Wazungu wanakimbilia china kwa ajiili ya cheap labor ndio kama hao, saizi wanatoka china wanaenda India kwa ajiili ya watu kana hao,
Unskilled labor dunia nzima mishahara yao ni mbuzi tu, mana wanakuwa hawana mikataba, day worker tu,
Kwa kusema hivyo tuhimizane ndugu zangu kusoma sanaa