Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #221
Ndio akili za mtu mweusi.Ni balaa , tena hao maofisa wa OSHA ndio wazee wa rushwa , wazee wa kubeba vibahasha vya kaki
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Mtu mweusi haaminiki.
Anaweza kukusaliti kisa buku 10 hii hii