Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

Hao makanjibai wataendelea kutuburuza endapo kama nchi hatutabadilika. Serikali itimize wajibu wake na pia sisi watanzania tutimize wajibu. Kwa mfano unakuta kiongozi mkubwa kama Mbowe anaenda kuchangisha zaidi ya milioni 400 kumnunulia askofu gari la kifahari badala ya ku-boost vijana wajasiriamali ambao wameshaanza kupiga hatua. Kuna vijana wako vizuri kwenye ujasiriamali ukisema uwawezeshe angalau 50m kila mmoja wangeajiri vijana wenzao kibao. Cha kushangaza kiongozi wa chama kinachojiita cha ukombozi anaenda kutumia zaidi ya milioni 400 kumzawadia askofu asiye hata na shida ya hiyo pesa.
 
Imenibidi niangalie hii habari ni ya mwaka gani, du nikajua ni habari ya miaka mitano nyuma[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Vijana wanaokubali kufanya kazi za kitumwa wamefungwa Akili

Nimetembelea hapo kwa bakhressa Buguruni nimekaa na hao vijana

Jibu ni kuwa akili zao zipo locked

Doesn't make sense kijana Energetic akabebe viloba vya ngano morning to evening then umpe elfu nne

Ukifanikiwa kuifunga akili ya MTU unakuwa umetoa uhai tayari.


Tusilaumu wahindi Ila tutoe strategies nini tufanye kuwaokoa vijana
 
Ni kushukuru Mungu kwa kweli kwa kutupa izi ajira.Una Bima ya afya,loan unaweza pata pia mahitaji daily ni uhakika japo tunaona ni kidogo.
 
Kuna familia ukizaliwa mkuu huna jipya-... Ni mateso mpka kufa! Wanaofanya kazi hizo hapo bugurun wengi wanatoka vijijini wamekuja kusaka life. Wengine wa humuhum na Wana digrii wamekimbia masimango yanayoanzia ngazi ya familia...

Endelea kufanya utafiti uone kama ana option nyibgine. Hii iqe quantitative na methodology yako ibebe assumption ya kupima plight condition ya familia wanazotoka na life economic opportunities they can opt
 



Kuna njia nyingi za kuishi

Maana hata ukabeba viloba miaka 100 huwezi kuikamata hata mil 1

Kuna namna za kuishi mjini , hiyo kugeuzwa msukule inaonesha something wrong on ur mind.

Self-investment ni muhimu in this life.
 
Huwezi kufanisha ujinga unafanyika Tanzania na China. Nakubali kuwa hizi kazi za vibarua ni umiza kichwa, lakini kwa Tanzania ni zaidi. CCM ni shetani.
 
Elimu ya Tanzania haina viwango kabisa. Mtu na mashters degree ya Mlimani lakini kichwani ni mtupu.
 
Una hoja mkuu, huko viwandani wafanyakazi wanapitia magumu sana.
 
Uko sahihi. Haya mambo bila kuwa na hizo groups ni bure. Serikali ndiyo ilaumiwe kwa sababu imewafanya watanzania wasijue ni nini maana ya vyama vya wafanyakazi.
 
Sure mzee.
Ulijuaje mind zao ziko locked?

Na je wanafanya kaz kwa muda mfupi wakafanye issue zingine au wao ni kukaa hapo forever.
 
Kuna njia nyingi za kuishi

Maana hata ukabeba viloba miaka 100 huwezi kuikamata hata mil 1

Kuna namna za kuishi mjini , hiyo kugeuzwa msukule inaonesha something wrong on ur mind.

Self-investment ni muhimu in this life.
Hii sio sababu ya kumefanya mtu akatae hiyo kazi. Mkuu hali ya maisha inatofautiana sana. Kuna watu wankimbia masimango na kuishi maisha yoyote bila kujali self investing Wala nguvu anayotumia

Cheap labour mda mwingine wanazalishwa na migongani katika familia hasahasa zile advanced marginalized, zenye sifa ya umaskin wa kutupwa na kukosa wasomi. Hili janga root cause yake ni hiyo.. that's good assumption kama utatumia nadharia flanflani hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…