MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hao makanjibai wataendelea kutuburuza endapo kama nchi hatutabadilika. Serikali itimize wajibu wake na pia sisi watanzania tutimize wajibu. Kwa mfano unakuta kiongozi mkubwa kama Mbowe anaenda kuchangisha zaidi ya milioni 400 kumnunulia askofu gari la kifahari badala ya ku-boost vijana wajasiriamali ambao wameshaanza kupiga hatua. Kuna vijana wako vizuri kwenye ujasiriamali ukisema uwawezeshe angalau 50m kila mmoja wangeajiri vijana wenzao kibao. Cha kushangaza kiongozi wa chama kinachojiita cha ukombozi anaenda kutumia zaidi ya milioni 400 kumzawadia askofu asiye hata na shida ya hiyo pesa.