Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Casual labour msisahau ni non formalized ector.. kuwa na vyama ni ngum. Hasa day worker mtawapatia wapi na kwa profeshino gan? Leo saidia fundi kesho unankuta mbeba magunia, kesho kutwa konda.Uko sahihi. Haya mambo bila kuwa na hizo groups ni bure. Serikali ndiyo ilaumiwe kwa sababu imewafanya watanzania wasijue ni nini maana ya vyama vya wafanyakazi.
Sure mzee.
Ulijuaje mind zao ziko locked?
Na je wanafanya kaz kwa muda mfupi wakafanye issue zingine au wao ni kukaa hapo forever.
Tatizo ni sisi wananchi. Siku hizi hata CCM siwalaumu kwa sababu ni dhahiri wako kwa sababu ya matumbo yao na hawana hasara. Je, sisi wananchi tunafanya nini? Kwa nini hatukinukishi na ikibidi tuvamie Ikulu na kumwondoa huyu mama anayevaa maushungi ya kinafki? Bila sisi wananchi kuwa wakali ni bure. Tunaweza kuwa na chama kimoja tu eg CCM, lakini tukiwa wakali na kukataa upumbavu wa kiongozi aliyeshindwa kazi, na tukamtimua na kuweka mwingine, viongozi wote watawajibika kwa kuogopa.Hao makanjibai wataendelea kutuburuza endapo kama nchi hatutabadilika. Serikali itimize wajibu wake na pia sisi watanzania tutimize wajibu. Kwa mfano unakuta kiongozi mkubwa kama Mbowe anaenda kuchangisha zaidi ya milioni 400 kumnunulia askofu gari la kifahari baada ya ku-boost vijana wajasiriamali ambao wameshaanza kupiga hatua. Kuna vijana wako vizuri kwenye ujasiriamali ukisema uwawezeshe angalau 50m kila mmoja wangeajiri vijana wenzao kibao. Cha kushangaza kiongozi wa chama kinachojiita cha ukombozi anaenda kutumia zaidi ya milioni 400 kumzawadia askofu asiye hata na shida ya hiyo pesa.
uvivu tu si uache kazi!!Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.
Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.
Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.
Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
Hii sio sababu ya kumefanya mtu akatae hiyo kazi. Mkuu hali ya maisha inatofautiana sana. Kuna watu wankimbia masimango na kuishi maisha yoyote bila kujali self investing Wala nguvu anayotumia
Cheap labour mda mwingine wanazalishwa na migongani katika familia hasahasa zile advanced marginalized, zenye sifa ya umaskin wa kutupwa na kukosa wasomi. Hili janga root cause yake ni hiyo.. that's good assumption kama utatumia nadharia flanflani hiv
Unahisi vibarua wa day worker china na India wanalipwa bei gani?Huwezi kufanisha ujinga unafanyika Tanzania na China. Nakubali kuwa hizi kazi za vibarua ni umiza kichwa, lakini kwa Tanzania ni zaidi. CCM ni shetani.
Sure family background inamatter sana pia wengine awana option nyingine.Kuna familia ukizaliwa mkuu huna jipya-... Ni mateso mpka kufa! Wanaofanya kazi hizo hapo bugurun wengi wanatoka vijijini wamekuja kusaka life. Wengine wa humuhum na Wana digrii wamekimbia masimango yanayoanzia ngazi ya familia...
Endelea kufanya utafiti uone kama ana option nyibgine. Hii iqe quantitative na methodology yako ibebe assumption ya kupima plight condition ya familia wanazotoka na life economic opportunities they can opt
Una hoja nzuri lakin huvai context.. unasahau Kuna watu humu jf mitaji wanayo na wanatafuta mawazo ya biashara. Hao vijana waliofubgwa akili na wahindi unahisi wako katika levo gan ya maamuzi?Maisha yanahitaji MTU kuwa uwezo Wa kufikiri vyema wote hapa tumepitia maisha magumu Sana tunaelewa hata viwandani nimefanya kazi.
Lakini akili ikiwa locked nothing you can do.
Kinachowasumbua vijana ni akili kujifunga.
Unapoishi usikubali kuwa mtumwa wa MTU .
Wahindi na waarabu wanachofanya nikuzifunga Akili za hao vibariua
Hivi hii tabia ya kuhalalisha jambo baya linalotokea Tanzania kwa kuonyesha kuwa linatokea pia sehemu nyingine mbona imekuwa ndiyo njia ya kuhalalisha kushindwa kwetu? Kwa hiyo kama hizi nchi ambazo ziko overpopulated na hazina raslimali nyingi zikifeli kufanya jambo basi na sisi tuige?Unahisi vibarua wa day worker china na India wanalipwa bei gani?
Kisha linganisha na per Capital yao ndio utaona mambo ni yale yale
Uwez mlaumu mtu maana wanakuja wenyewe ila pia kuna sheria serikal inazembea kuifata.Kuna mambo ya hovyo yanafanyika sana hapa nchini..
Na shida ni kwamba hao watu wakilipwa hizo buku nne bado na kesho mapema tu wapo kwenye foleni ya kuingia mzigoni..sasa hapo utamlaumu nani??
Maisha ya kingese kabisa..sasa elfu nne si ni hela ya kula mchana tu na maji ya kunywa..Naamini elfu nne mtu unaweza kuipata kwa kutoteseka hivi aisee.
It cost time and energy.. wengi wanangalia fursa nyingine. Mm binafsi mkuu niliwahi kufanya mpaka ulinzi. Mshahara ilikuwa less than 200... Ila LINDO lilikuwa sehem flan flan za upigaji. ALHAMDULILAH nilipata mtaji wa kuanza safar mpya ya maishaSure family background inamatter sana pia wengine awana option nyingine.
Ila mkuu vp hao wa degree nazan wanafanya na kupita.
Kwenye ulinzi alikuwa analipwa shingap?Una hoja nzuri lakin huvai context.. unasahau Kuna watu humu jf mitaji wanayo na wanatafuta mawazo ya biashara. Hao vijana waliofubgwa akili na wahindi unahisi wako katika levo gan ya maamuzi?
Life is too complex, wengi wanatusua kimungu mungu tu. Kuna jamaa yangu alisoma na digrii akaajiriwa taasisi flani hiv binafsi kwa mwez 600k. Hakuwez kusev hata laki 6 muda wa mwaka mzima aliofanya Kaz pale. Akaja kuajiriwa ulinzi, miaka miwili katoka na million 10 mpaka muda huu kajiajiri na kajenga. Ni mungu tu
Regulatory capture..Watz hawana furaha kabisa!
Hivyo viwanda pengine vingelipa vizuri tu lakini selikali nayo imekodolea macho huko inawakamua kodi kubwa vibaya mno.
Mwisho wa siku na wao wanawabana vibarua
Kitendo cha kuwa maskini ni wazi umeshindwa kutumia akili kwa hiyo option uliyonayo ni nguvuMtaji wa masikini ni akili nguvu kabebee kokoto
Sana kaka sio powa..Una hoja mkuu, huko viwandani wafanyakazi wanapitia magumu sana.
Una hoja nzuri lakin huvai context.. unasahau Kuna watu humu jf mitaji wanayo na wanatafuta mawazo ya biashara. Hao vijana waliofubgwa akili na wahindi unahisi wako katika levo gan ya maamuzi?
Life is too complex, wengi wanatusua kimungu mungu tu. Kuna jamaa yangu alisoma na digrii akaajiriwa taasisi flani hiv binafsi kwa mwez 600k. Hakuwez kusev hata laki 6 muda wa mwaka mzima aliofanya Kaz pale. Akaja kuajiriwa ulinzi, miaka miwili katoka na million 10 mpaka muda huu kajiajiri na kajenga. Ni mungu tu
Kuwa na adabu kwa Rais wa nchi. Mabadiliko hayaletwi kwa matusi. Kukinukisha sio suluhisho la matatizo kama mfumo utaendelea kuwa uleule. Kenya wanabadili vyama tawala kila mara ila mambo ni yaleyale... Zambia ndo wakali wa kubadili vyama ila wananchi wana shida afadhali ya sisi... unaitoa CCM unaiweka CHADEMA ambayo viongozi wake wanachangishana mamilioni kumzawadia Askofu mstaafu V8 huku chama kikiwa dhoofu kiuchumi??!!! Kwa sasa tutaendelea na CCM hadi pale mbadala wake utakapokuwepo.Tatizo ni sisi wananchi. Siku hizi hata CCM siwalaumu kwa sababu ni dhahiri wako kwa sababu ya matumbo yao na hawana hasara. Je, sisi wananchi tunafanya nini? Kwa nini hatukinukishi na ikibidi tuvamie Ikulu na kumwondoa huyu mama anayevaa maushungi ya kinafki? Bila sisi wananchi kuwa wakali ni bure. Tunaweza kuwa na chama kimoja tu eg CCM, lakini tukiwa wakali na kukataa upumbavu wa kiongozi aliyeshindwa kazi, na tukamtimua na kuweka mwingine, viongozi wote watawajibika kwa kuogopa.