Mungu namjua?lakini namwabudu
Pointi sio njema kwa kweli:
"kuna kikundi cha watu wachache wanataka kuunjia mbali muungano wetu, sitta kasema atawashughulia ipasavyo na hayupo tayari kuona muungano uliodumu kwa miaka 50 ukivunjwa na watu kama hao.
Sitta:
"Kuna kundi dogo tena la wav wachache wana malengo ya maksudi wakitaka kuvunja muungano wetu uliodumu takribani kwa miaka 50 sasa, hao hatuna shida nao sana nahaidi TUTAWASHUGHULIKIAtu ili kulinda muungano wetu"
Kauli kama hii ya mh. Sitta imelenga nini haswa kupelekea hatma ya muungano wetu?
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.
Sitta anasema anataka kupigania muungano na c mawazo ya watanzania...hapo tu umeharibu.
Hapa kwa kweli amebugi! Alitakiwa asionyeshe hisia zake mapema! Hili litapunguza idadi kubwa ya kura zake! Wasiompenda Rungwe wataharibu kura zao!
Una mungu wangapi?
Teh teh mbinu nyingine hz......sitta kasimama pale kila mjumbe anamsalimia
hii tred inaenda speed sana duuuuuuu!
kwa sababu inamzungumzia mzee wa SPEED na VIWANGOhii tred inaenda speed sana duuuuuuu!