Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Sitta:
"Kuna kundi dogo tena la wav wachache wana malengo ya maksudi wakitaka kuvunja muungano wetu uliodumu takribani kwa miaka 50 sasa, hao hatuna shida nao sana nahaidi TUTAWASHUGHULIKIAtu ili kulinda muungano wetu"

Kauli kama hii ya mh. Sitta imelenga nini haswa kupelekea hatma ya muungano wetu?
 
Pointi sio njema kwa kweli:
"kuna kikundi cha watu wachache wanataka kuunjia mbali muungano wetu, sitta kasema atawashughulia ipasavyo na hayupo tayari kuona muungano uliodumu kwa miaka 50 ukivunjwa na watu kama hao.














-----------




Veriest sensitive mkuu....hata mimi nimemshangaa kidogo
 
Sitta:
"Kuna kundi dogo tena la wav wachache wana malengo ya maksudi wakitaka kuvunja muungano wetu uliodumu takribani kwa miaka 50 sasa, hao hatuna shida nao sana nahaidi TUTAWASHUGHULIKIAtu ili kulinda muungano wetu"

Kauli kama hii ya mh. Sitta imelenga nini haswa kupelekea hatma ya muungano wetu?

Hilo ni kaa la moto kwa wale wenye hoja za serikali tatu.
 
Wabunge wanaendelea kupiga kura. Mtikila naye amepiga ila sina hakika kama amepiga kisawasawa. Tutasikia idadi ya kura zilizoharibika na yeye atakuwa miongoni mwa walioharibu kura hizo. Ni mawaao yangu tu wadau
 
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.

Uko Sahihi kabisa Sitta is just another stupid man. Angalia alipokuwa spika ndo mtu wa kwanza kupandisha allowance za wabunge kwa kudai kwamba mbunge hastahili kuishi kwa shida. aliachiwa na leo hii ndo hayo! Leo tena amedokeza dalili kwamba mwishoni lazima kuwe na kiinua mgongo kwa wabunge.

Kwa tabia hiyo, huyu ndo anapendwa na hilo group la wabunge washangiliaji.
 
Teh teh mbinu nyingine hz......sitta kasimama pale kila mjumbe anamsalimia
 
Nina uhakika sita ameamua kutangaza kuunga muungano lkn akili yake iko mbali. Lengo lake amenuia kuzipata kura za maccm wamaz wa muungano
 
Hapa kwa kweli amebugi! Alitakiwa asionyeshe hisia zake mapema! Hili litapunguza idadi kubwa ya kura zake! Wasiompenda Rungwe wataharibu kura zao!

Hapo ndipo utakapojua kuwa mtu anayejiamni hapaswi kuogopa kupiga kura ya WAzi, SITTA amekuwa muazi bila kujali atapoteza kura au la. Na huo ndiyo msimamo unaotakiwa siyo woga woga usiyo na maana
 
Sitta ajue anawezekana akarudishwa kwenye maji ya Moto na hivyo kufa kabisa......asifikiri bunge aliloliongoza kipindi hicho ndio atakavyoongoza kipindi hichi hajui kutofautisha nyakati na hili ndilo litakalo Msumbua 6
 
Vipi mbona mnatuchanganya wengine wameripoti kuwa sitta ameanguka
ghafla kakimbizwa hospital ni kweli?
 
image.jpgimage.jpgimage.jpg
 
Back
Top Bottom