Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

sasa bungeni anajadiliwa mbatia na mtikila badala ya ibara ya 1 na ya 6, ni hatari sanaaa
 
Nkumba,
waliokimbia ukumbi wamesubiri posho zimetoka leo ndiyo wametoka ukumbini nkumba anashauri warudisha posho walizobeba.
 
Kaka Zito thanks ! Umeongea kwa Busara na kuonyesha tofauti Mkuu
 
Basi kama hawajiwezi, si wakubaliane na serikali moja? Hao wabunge unaowasikia ni wanafiki tu, na wengi wao hawatarudi 2015 kutokana na hasira walizinazo wananchi wengi wa Zanzibar.
 
UKAWA n wanafik wakubwa wale,wamechukua POSHO leo saa Tano na nusu na wamechukua pesa mpaka tr 31/4..kama walikuwa na lengo la kutoka y wasingetoka jana na kwannn wasiache zile pesa warud kwetu tuwaamin kama wapo kwa ajil ya waTz???ukawa n wahuni wote niseme hvo na wanatarajia sympath yetu wananchi wanashindwa elewa kuwa chaguz ndogo zote zilizopita CCM imewaburuza mbaya wapinzani.maskin upinzan hauna dira


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

mpuuzi ni wewe uliyeshindwa kuelewa maneno mepesi na rahisi kuya dadavua.
Haiku hitaji miwani kuona wepesi wa kauli rahisi alizo andika mdau pale juu
 
Kulikuwa hakuna sababu kwa kundi la wachache kuendelea kujadili kitu ambacho hakitakuwa na mabadililko yoyote wakati CCM walisha sema kuwa wakikataa serekali 2 ni lazima watakutana nazo kwenye katiba mpya au watazikuta kwenye katiba ya zamani.
 
Leo kimetokea kituko baada ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya kuonyeshwa mkataba wa muungano.

Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…