Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa wao ndiyo wapotoshaji wakubwa lazima wapewe haki yao tena za uso .sasa bungeni anajadiliwa mbatia na mtikila badala ya ibara ya 1 na ya 6, ni hatari sanaaa
achanana na huyo binti wa chama cha ukoo wa panya.. Atakuumiza kichwa bure tu, kuna watu wanalipwa humu kwa kupost , kwa siku wanalipwa 7000/thread na huyo ni mmoja wao... So atakuumiza kichwa bure.
Hili laweze kuwa wazo la "kijinga" ama la "kipumbavu"....msome 'mpuuzi' huyu anavyosema
......Eeh ndiyo...nilishasema toka mwanzo.... Utaratibu wa kuanzisha Mchakato wa katiba Mpya...ulikuwa ni mkakati madhubuti wa kuwaadhibu 'wakorofi-wapinga wateule wa nafasi nyeti wasiona uwezo'...na hata wale ambao wananyemelea nafasi nyeti za uongozi 2015...kinyume na matakwa ya 'wahusika washikadau'...
Kwanza kagua mwenendo wa jaji Warry toka mchakato wa urais...toka enzi hozi mpaka sasa alikuwa ana muunga mkono nani? je mwenendowake waweza kuhusishwa na alichokifanya kwa kuongoza mchakato wa sasa...na kurushiwa 'madongo'?
Pili, Mr. Mwakky...naye anatuhumiwa kuunga mkono Ukawa (rejea taarifa za runinga leo asubuhi)...eti S3 ndiyo suluhu...kinyume na kundi analotoka...anaadhibiwa tu...asisogelee wadhifa huo 2015...kwani kawaunga mkono ukawa...
Tatu, Mr. S. 6 yeye...mpango umesukwa mchakato huu uvunjikie mikononi mwake...na hii itakuwa imedhalilisha falisafa yake ya "esi esi"...na kumuondolea hadhi ya kuitwa 'mkuu'...eeh si mumeona Mr. Profesa kakimbia kikao na ukawa ...ni hatua za awali kuvunja mchakato.
Nne, Mr. Mambo ya Nje...naye zomea zomea imemkuba leo hasubuhi ...pia hiyo siyo dalili njema..ni dalili za kuadhibiwa..., haujiulizi...lini Mr. Eddy amechangia katika mchakato huu...
Wapo wengi wanaoadhibiwa....ngoja niendele kuwa tajia na nanmna wanavyoadhibiwa...
Agghrrr ....nimeshidwa kumsikiliza mpuuuzi huyu nami nimeondoka zangu...maana kazidi upuuzi.
T
Sijui amechangia nini huyu Diana Chilolo hatasimuelewi mie.
===>Muda wa kusikiliza TBC umeisha maana wenye akili wameshaondoka,Tunasubiri World Cup basi.
Pointless
Kwakuwa wao ndiyo wapotoshaji wakubwa lazima wapewe haki yao tena za uso .