Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

ngoja niende zangu mazoezini naona wananchosha tu hawa
 
Cuf,chadema na nccr mageuzi wamejitoa kwenye mchakato wa katiba mpya hivi sasa
 
Bora sana badala ya kutoa hoja wao ni mipasho na matusi tuu ubaguzi
 
Kisa na sababu mbona hujafunguka walisema hatoki mtu au CCM wameshacheza faulu za nguvu !
 
Naona ccm wameamua kuendelea na matusi yao. Na sasa wanamjadili warioba na sio rasimu ya katiba.
 
daah wabunge wa upinzani kama ilivyotabiriwa kabla nawaona ndio wanatoka nje taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
 
Watetezi wa katiba ya wananchi ukawa wameamua kutoka nje ya ukumbi wa bunge na kuwaachia maccm waendelee na matusi yao.
Na waondoke tu kwani wanafaida gani? Wanaendekeza ubaguzi tu usio na kifani. Wamezidiwa kwa hoja hawa
 
Wamelalamika kuwa kumekuwa na kauli za kibaguzi, chuki na kikabila hivyo wao hawako tayari kuendelea kusikiliza kauli hizo
 
Waliidai sana,tena kwa sauti ya juu,na wengine kule Zenji walienda hadi mahakamani na mwanasheria wa serikali kule zenji akawaambia haipo! ni kweli hakujua kua ipo? au alikatazwa kusema ipo?

Nini kilifanya ifichwe sana ile hati ya muungano?

Huenda ipo hati ya muungano wa unguja na pemba ila nayo imefichwa,tutaidai baadae baada ya hii!
 
Waliobaki wanasema kuwa ukawa wameshindwa hoja wameamua kuendeleza vioja
 
Mpaka sasa, hoja ya serikali1 ndio bora zaidi inayofuata ni Serikali2 hii ya Serikari3 ni kelele tu, hakuna hata mmoja aliyetoa point inayoshawishi hadi hivi sasa sana sana wengi wanashabikia kwa vile ni sera ya vyama vyao.

Hivi Nyie watu kwanini akiri zenu mmehamishia visiginoni mbona mmekosa hoja kiasi hiki.
Hivi unaweza kutuwekea hapa hizo unazoziita point za kutetea serikali mbili. Na utaelewaje wakati akiri zako umekabidhi Lumumba.
Jitambue ndugu utakalili mpaka lini na utawarithisha nini wanao.

BACK TANGANYIKA
 
daah wabunge wa upinzani kama ilivyotabiriwa kabla nawaona ndio wanatoka nje taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
Muda mrefu walisema wataondoka. Kwa vile wamepewa mshiko wa mwezi mzima, ndo leo wameamua kuondoka.
 
Back
Top Bottom