Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watetezi wa katiba ya wananchi ukawa wameamua kutoka nje ya ukumbi wa bunge na kuwaachia maccm waendelee na matusi yao.
Na waondoke tu kwani wanafaida gani? Wanaendekeza ubaguzi tu usio na kifani. Wamezidiwa kwa hoja hawaWatetezi wa katiba ya wananchi ukawa wameamua kutoka nje ya ukumbi wa bunge na kuwaachia maccm waendelee na matusi yao.
Imeanza, na sasa Prof Lipumba ndio anachangia.
Ameanza kwa kusema Waziri Lukuvi ameanza kampeni ndani ya makanisa kushawishi wakristo kukataa serekali tatu.
Wametoka baada ya lipumba kutoa hotuba kali
Mpaka sasa, hoja ya serikali1 ndio bora zaidi inayofuata ni Serikali2 hii ya Serikari3 ni kelele tu, hakuna hata mmoja aliyetoa point inayoshawishi hadi hivi sasa sana sana wengi wanashabikia kwa vile ni sera ya vyama vyao.
Muda mrefu walisema wataondoka. Kwa vile wamepewa mshiko wa mwezi mzima, ndo leo wameamua kuondoka.daah wabunge wa upinzani kama ilivyotabiriwa kabla nawaona ndio wanatoka nje taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
Je hiyo ni faida kwa wananchi?