Nchi nyingine wananchi wangekua wamelizunguka bunge sshv...
Hiv tz Jamani tuamke
...ONENI WENYEWE TATIZO LA MSINGI HAPO
...
Hebu anza wewe kwanza tukuone then sisi tutafuata, mbona unayasema haya ukiwa nyuma ya keyboard? Mi nilidhani uko Dodoma tayari?Nchi nyingine wananchi wangekua wamelizunguka bunge sshv...
Hiv tz Jamani tuamke
Zungu kusema hawajapokea taarifa yeyote kuhusu zuio la mahakama ina maana wakipokea kuna uwezekano wa kusitisha mjadala! Katika hili alitakiwa kuwa wazi kuwa bunge alitopangiwa jinsi ya kufanya kazi!
Zungu kusema miongozo yote ya Kuhusu Escrow ataijibu jioni ni wazi kuna uwezekano wa report kutosomwa hata hiyo jioni!
.Kwa nini wez mnawachelewesha wa escrow? Ripot zote zipo tayar had mnasababisha baadhi ya kurasa kuibiwa mala mahakama ipinge viongoz wamekosa maamuzi taifa halina msimamizi kila mtu ni mkubwa ufisadi ni balaa kwa Tanzania kila kona ni skendo.
christine ibrahim kuna mtu humu alinichekesha sana Jana humu nilishindwa kuelewa amefikiri nini? Jamaa alisema! " Hivi wanaume wote tuliopo Tanzania kama sakata la Escrow likifanyiwa mizengwe na tukashindwa kufanya chochote kwanini tusiolewe tuu?"
Nilicheka sana daaa huyu jamaa ana machungu sana na hakika watanzani tuko nyuma sana angalia nchi za wenzetu mtoto kapigwa risasi watu wame react hadi Us defense secretary anataka kujiuzulu!
Hakika mahakama zinatumika vibaya sana tena sana! Ngoja tuone jioni!