Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Uchambuzi wako ni dhaifu sana.
Umejenga hoja lakini umeshindwa kuitetea vyema, na baadhi ya sababu ulizozitaja kumpa kura Trump ni miongoni mwa sababu pia za kutumika kumnyima kura Trump.

Huwezi kusema Trump ana sera nzito dhidi ya wahamiaji, na wakati huo huo kuna wahamiaji wengi wanapiga kura za kuamua matokeo.
Huwezi kusema Trump akiingia madarakani atamaliza vita ya Ukraine na vita ya Gaza, lakini hapo hapo ushindwe kusema kivipi amepanga kufanikisha hilo.
 
Kama demokrasia hakuna itashindikanaje wizi ila nisiwe mnafiq napenda marekani itokee civil war kwakweli
Republican walifanya kosa walilofanya chadema 2015.,kuliweka " kapi " kuwa mwakilishi wa chama kwenye uchaguzi muhimu
Kwani nyie makomredi mmesoma alichoandika mleta-mada, au ni mwendo wa kujikomentisha tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…