Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Leo Novemba, 5 mwaka 2024 wananchi wa Marekani wanapiga kura kuchagua rais wa nchi hiyo atakayeongoza kwa kipindi cha miaka minne

Mchuano mkali ni kati ya makamu wa rais wa sasa BI. Kamala Harris (60) wa chama cha Democratic na Bw. Donald Trump wa cha Republican

Trump ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huu kutokana na imani kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo hasa wadhungu weupe na matajiri kuwa atainua uchumi wa nchi hiyo

Atamaliza vita kati ya Urusi na Ukraine pamoja na mipigano yanayoendelea Mashariki ya kati Israel na Palestine/Hisborrha

Pia wananchi wa USA wanaamini Trump akiwa madarakani atadhibiti wahamiaji haramu kuingia kiholela nchini humo sera ambayo amekuwa akiihubiri kwenye kampeni zake

Soma Pia:
LIVE Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Aidha wanaamini mgombea huyo ataimarisha uhusiano wa kibiashara na China na Urusi na kwamba atapunguza migogoro ya kivita kati ya nchi hiyo na China na Rusia hivyo kuimarisha uchumi

Wamarekani wanaamini pia Trump atadhibiti ugaidi nchini mwao na kuwafurusha wahamiaji haramu na kuthibiti utoaji misaada kwa nchi masikini za dunia ya tatu

Karata yangu miye pia napa mwamba Donald Trump kushinda na kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa leo

Comasava
Uchambuzi wako ni dhaifu sana.
Umejenga hoja lakini umeshindwa kuitetea vyema, na baadhi ya sababu ulizozitaja kumpa kura Trump ni miongoni mwa sababu pia za kutumika kumnyima kura Trump.

Huwezi kusema Trump ana sera nzito dhidi ya wahamiaji, na wakati huo huo kuna wahamiaji wengi wanapiga kura za kuamua matokeo.
Huwezi kusema Trump akiingia madarakani atamaliza vita ya Ukraine na vita ya Gaza, lakini hapo hapo ushindwe kusema kivipi amepanga kufanikisha hilo.
 
Kama demokrasia hakuna itashindikanaje wizi ila nisiwe mnafiq napenda marekani itokee civil war kwakweli
Republican walifanya kosa walilofanya chadema 2015.,kuliweka " kapi " kuwa mwakilishi wa chama kwenye uchaguzi muhimu
Kwani nyie makomredi mmesoma alichoandika mleta-mada, au ni mwendo wa kujikomentisha tuu?
 
Tupo nao hatua kwa hatua

Wapiga kura hawa alikuwa nao mkononi:

IMG_20241104_132628.jpg


Sasa kachezea shilingi kwenye shimo la choo.
 
Back
Top Bottom