Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Kwaninwamarekani wenyewe wanamuitaje. Black, white, hispanic, indian? Au ushawai sikia wanamuita mtu half cast mkuu🤣
Sasa wewe mbona umeamua kumwita Obama 'black' wakati ni mchanganyiko wa mweupe na mweusi?

Au kwa vile wewe ni mweusi ukaamua kujipakulia minyama!😅
 
🤣Banian
 
Sasa wewe mbona umeamua kumwita Obama 'black' wakati ni mchanganyiko wa mweupe na mweusi?

Au kwa vile wewe ni mweusi ukaamua kujipakulia minyama!😅
Namuita black kwasababu wamarekani wenzake wanamuita black, hata yeye mwenyewe kakubaliana na hilo "african america"

Kwasasa ibaki hivo japo kunakuaga na debate kuna watu wanahoji mfano wale wazungu wa southafrica wakichukua uraia wa marekani wataitwa "african american?" Nikiipata ile clip ntaiattach

Kwa muda huu wamerakani wanasema obama ni black wa kolomije
 
mambo ya siasa kwani huyaelewi. hapo alikua anamzingua kwa sababu ni half-caste. baba yake alikua gwiji wa uchumi na mama mwanasayansi. wote wakiwa wahamiaji.
Achague upande wa kudumu, hata huku kwetu wengi makabila tunachukua kwa mzee
 


Awali kabla, Senate ilikuwa chini ya wademokrati chama cha Kamala Harris

Leo hii matokeo ya mapema yamewapa ushindi Republicans kwa kushinda viti 51, Democrats 42, bado matokeo ya viti 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…