Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Kwaninwamarekani wenyewe wanamuitaje. Black, white, hispanic, indian? Au ushawai sikia wanamuita mtu half cast mkuu🤣
Sasa wewe mbona umeamua kumwita Obama 'black' wakati ni mchanganyiko wa mweupe na mweusi?

Au kwa vile wewe ni mweusi ukaamua kujipakulia minyama!😅
 
Wanamchelewesha tu kumtangaza kisha shinda na pia huko Wisconsin kuna EC 10 zitakuwa 246+10=256 Yuko mbioni pia kushinda na huko Michigan mpaa mda hu anaongoza lakini bado sana kujuwa mshindi hapo kuna 15 EC sidhani hicho kibaniani kitashinda. Akishinda Michigan wachana na Arizona pia anaongoza atakuwa ana 256+15=271 Yule baniani hana chance ya kushinda na Arizona 11 EC itakuwa 282 na bado kwingine huyo banianiani ataishia kwenye chini ya 248 EC haendi zaidi ya hapo.
🤣Banian
 
IMG_7182.jpeg
 
Sasa wewe mbona umeamua kumwita Obama 'black' wakati ni mchanganyiko wa mweupe na mweusi?

Au kwa vile wewe ni mweusi ukaamua kujipakulia minyama!😅
Namuita black kwasababu wamarekani wenzake wanamuita black, hata yeye mwenyewe kakubaliana na hilo "african america"

Kwasasa ibaki hivo japo kunakuaga na debate kuna watu wanahoji mfano wale wazungu wa southafrica wakichukua uraia wa marekani wataitwa "african american?" Nikiipata ile clip ntaiattach

Kwa muda huu wamerakani wanasema obama ni black wa kolomije
 
mambo ya siasa kwani huyaelewi. hapo alikua anamzingua kwa sababu ni half-caste. baba yake alikua gwiji wa uchumi na mama mwanasayansi. wote wakiwa wahamiaji.
Achague upande wa kudumu, hata huku kwetu wengi makabila tunachukua kwa mzee
 
1730874567300.png


Awali kabla, Senate ilikuwa chini ya wademokrati chama cha Kamala Harris

Leo hii matokeo ya mapema yamewapa ushindi Republicans kwa kushinda viti 51, Democrats 42, bado matokeo ya viti 7
 
Back
Top Bottom