Mkuu hata kama Haris angeshinda Ukraine tiyari imesha zidiwa kwenye uwanja wa mapambano .Nafuu ipi mkuu.... kumbuka lengo la Biden ilikuwa kuizuia Urusi isishinde na kujitanua zaidi....kwa Sasa kuna uwezekano Ukraine ikalazimishwa kukubali kuachia sehemu ya ardhi yake Ili amani iwepo.
ALIFANYA NINI KWA AFRIKA LAST TIME NA ASA ATAFANYA NINI?Raia wote wa bara la Africa wenye akili timanu tunataka Trump ashinde..
Sifahamu mkuu ila kama unakumbuka wakati inaporwa Crimea ilionekana dhaifu mno ndio maana haikutoa upinzani wowote kipindi kile.Kabla ya mgogoro wake na Russia, Ukraine ilikuwa na kiwango gani cha silaha? Na kijeshi barani ulaya ilikuwa ya ngapi?
Wisconsin! Je, iko mkoa gani, Tanga, Arusha, Mtwara au Kagera??Wisconsin
Mwenye Akili timamu Hawezi kuhamia Kusiko kwake! Uhamiaji NI Mtumwa!Trump sio kabisa.
Ana sera mbovu sana za uhamiaji.
Hataki wahamiaji kule marekani.
Sio bure unaitwaa nyani...yaan unataka trump akufanyie kitu wewe? Yaan marekani ikufanyie kitu! Hv hiz akil za kiafrica ni za wapi mazee? Ulale kwako mbezi kwa msuguri utake teump akufanyir kitu..takataka kabisaaaALIFANYA NINI KWA AFRIKA LAST TIME NA ASA ATAFANYA NINI?
Ukraine kabla ya mgogoro wake na Russia kwa military strength ilikuwa inashika namba 3 mara nyengine 4.Sifahamu mkuu ila kama unakumbuka wakati inaporwa Crimea ilionekana dhaifu mno ndio maana haikutoa upinzani wowote kipindi kile.
Unapokuta neno linasema, Mwanaume ni kichwa cha" huwa unaelewa nini mkuuHicho kifungu ulichonukuu hakina uhusiano wowote na uchaguzi wa Marekani.
Alizidiwa tu man power na silaha.....ingekuwa Ukraine yupo namba 3 au 4 ,Urusi angepata wakati mgumu mno kuliko hivi sasa.Ukraine kabla ya mgogoro wake na Russia kwa military strength ilikuwa inashika namba 3 mara nyengine 4.
Tutumie logic kufikiri, kwa silaha alizokuwa nazo kumzuia Russia kutoingia maeneo yake alishindwa wapi?
Data zipo wazi unaweza ukasafu mtandaoni nguvu ya Ukraine kijeshi barani Ulaya ilikuwa ya ngapi 2022/2021Alizidiwa tu man power na silaha.....ingekuwa Ukraine yupo namba 3 au 4 ,Urusi angepata wakati mgumu mno kuliko hivi sasa.
Huenda Urais wa Trump utasaidia vita vifike mwisho.
T14 Armata
Hawana Fast updates!🤣Aljazeera wao bado wapo nyuma