ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mkuu hata kama Haris angeshinda Ukraine tiyari imesha zidiwa kwenye uwanja wa mapambano .Nafuu ipi mkuu.... kumbuka lengo la Biden ilikuwa kuizuia Urusi isishinde na kujitanua zaidi....kwa Sasa kuna uwezekano Ukraine ikalazimishwa kukubali kuachia sehemu ya ardhi yake Ili amani iwepo.