Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kushangilia kama Manu akipigwaWw itakusaidia nn???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushangilia kama Manu akipigwaWw itakusaidia nn???
Ni Bora kujiandaa mapema Ili siku ikifika usidondoke Kwa presha na watu wakafanya YaoWw itakusaidia nn???
Subiria umeme ulikatka studio kwenye chumba cha kuchakachua picha cha chadema wamefuata generator.Wakimalizia watarushaOya picha vipi
Kuambiwa mnawaibia machinga nalo ni tusiHivi unajua kwamba, licha ya matusi yenu bado haitasaidia kuing'oa CCM madarakani mkuu!
Na mwaka huu ni kipigo cha mbwa Koko!!
Leo naona makamanda maneno mengi picha hadi sasa sijaonaSubiria umeme ulikatka studio kwenye chumba cha kuchakachua picha cha chadema wamefuata generator
Video za mapokezi zipo watu wanafata msafara mlishaambiwa mfungulie vyombo vya habari hamtak oneni sasa mnavyopata tabu kuona mafuriko ya lisuSubiria umeme ulikatka studio kwenye chumba cha kuchakachua picha wamefuata generator
OK kazi ya uchakachuaji imekamilika tupe link sasa.Video za mapokezi zipo mlishaambiwa mfungue vyombo vya habari hamsikii oneni sasa mnavyopata tabu kuona mafuriko ya lisu
Natahadharisha tu, maana Sisi ni watu tunaopenda kuambiwa na kuahidiwa vitu vitamuvitamu kumbe ni vichungu zaidi ya shibiriKuambiwa mnawaibia machinga nalo ni tusi
Ubeligiji TAL alienda kutibiwa tu, na amekaa miaka mitatu kasoro! Kusema au kumwita Mbeligiji ni poropaganda na siasa za maji taka, yule ni Mnyaturu wa Singida, raia halali wa Tanzania, kuliko Wahutu wengi tu wa Burundi!Sikosei sana mkuu, Ila napaswa kweli kuandika, Mtz/beligiji Kwa kuwa ako na uraia mbili
Kwa hiyo wewe unamwonea wivu yeye kuwa Mtz/beligiji?Ubeligiji TAL alienda kutibiwa tu, na amekaa miaka mitatu kasoro! Kusema au kumwita Mbeligiji ni poropaganda na siasa za maji taka, yule ni Mnyaturu wa Singida, raia halali wa Tanzania, kuliko Wahutu wengi tu wa Burundi!
Hakuna uraia wa nchi 2, kwa watu Watanzania wenye zaidi ya miaka 18 Wewe! Hapa kwenye ma-great thinkers unaonesha ushamba wako tu na ubishi wa kitito wa vijiwe vya kahawa!Kwa hiyo wewe unamwonea wivu yeye kuwa Mtz/beligiji?
Kama vipi na wewe Omba huo uraia"
Jambo la msingi, umeshajua kwamba ataingia ikulu, hilo la kufurumshwa utaelewa taratibu tu kwamba haliwezekani!Natahadharisha tu, maana Sisi ni watu tunaopenda kuambiwa na kuahidiwa vitu vitamuvitamu kumbe ni vichungu zaidi ya shibiri
Swala la machinga, naendelea kusisitiza kuwa, limewasaidia Sana wamachinga na mama ntilie kufanya kazi zao bila bughudha yoyote Ile mahala popote
Imewapunguzia na kuokoa pesa zao zinazofikia Laki tatu na ushee Kwa mwaka, Kwa maana ya kuwa wanalipia kila siku 1000 ya ushuru
Hadi kufikia malipo ya sh 56 tu Kwa siku Kwa maana ya Tsh 20 Kwa kitambulisho
Sasa ninyi iingieni kijingakijinga hiyo Sera kuwahusu wamachinga bila kuuboresha, hamtakaa Ikulu, wamachinga watamfurumsha Ikulu huyu mtu wenu
Mungu mbariki Lissu
Ni Bora kujiandaa mapema Ili siku ikifika usidondoke Kwa presha na watu wakafanya Yao
Itanisaidia kuwa na uhakika wa ulinzi wa rasilimali za Taifa hili, sio huyo mwenye kimvuli cha ubeberu
Natahadharisha tu, maana Sisi ni watu tunaopenda kuambiwa na kuahidiwa vitu vitamuvitamu kumbe ni vichungu zaidi ya shibiri
Swala la machinga, naendelea kusisitiza kuwa, limewasaidia Sana wamachinga na mama ntilie kufanya kazi zao bila bughudha yoyote Ile mahala popote
Imewapunguzia na kuokoa pesa zao zinazofikia Laki tatu na ushee Kwa mwaka, Kwa maana ya kuwa wanalipia kila siku 1000 ya ushuru
Hadi kufikia malipo ya sh 56 tu Kwa siku Kwa maana ya Tsh 20 Kwa kitambulisho
Sasa ninyi iingieni kijingakijinga hiyo Sera kuwahusu wamachinga bila kuuboresha, hamtakaa Ikulu, wamachinga watamfurumsha Ikulu huyu mtu wenu