Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Kuambiwa mnawaibia machinga nalo ni tusi
Natahadharisha tu, maana Sisi ni watu tunaopenda kuambiwa na kuahidiwa vitu vitamuvitamu kumbe ni vichungu zaidi ya shibiri

Swala la machinga, naendelea kusisitiza kuwa, limewasaidia Sana wamachinga na mama ntilie kufanya kazi zao bila bughudha yoyote Ile mahala popote

Imewapunguzia na kuokoa pesa zao zinazofikia Laki tatu na ushee Kwa mwaka, Kwa maana ya kuwa wanalipia kila siku 1000 ya ushuru
Hadi kufikia malipo ya sh 56 tu Kwa siku Kwa maana ya Tsh 20 Kwa kitambulisho

Sasa ninyi iingieni kijingakijinga hiyo Sera kuwahusu wamachinga bila kuuboresha, hamtakaa Ikulu, wamachinga watamfurumsha Ikulu huyu mtu wenu
 
Sikosei sana mkuu, Ila napaswa kweli kuandika, Mtz/beligiji Kwa kuwa ako na uraia mbili
Ubeligiji TAL alienda kutibiwa tu, na amekaa miaka mitatu kasoro! Kusema au kumwita Mbeligiji ni poropaganda na siasa za maji taka, yule ni Mnyaturu wa Singida, raia halali wa Tanzania, kuliko Wahutu wengi tu wa Burundi!
Na kwa taarifa yako Tanzania haina uraia wa nchi mbili kwa watu wenye miaka 18 au zaidi!
 
Ubeligiji TAL alienda kutibiwa tu, na amekaa miaka mitatu kasoro! Kusema au kumwita Mbeligiji ni poropaganda na siasa za maji taka, yule ni Mnyaturu wa Singida, raia halali wa Tanzania, kuliko Wahutu wengi tu wa Burundi!
Kwa hiyo wewe unamwonea wivu yeye kuwa Mtz/beligiji?

Kama vipi na wewe Omba huo uraia"
 
Hakuna uraia wa nchi 2, kwa watu Watanzania wenye zaidi ya miaka 18 Wewe! Hapa kwenye ma-great thinkers unaonesha ushamba wako tu na ubishi wa kitito wa vijiwe vya kahawa!
 
Natahadharisha tu, maana Sisi ni watu tunaopenda kuambiwa na kuahidiwa vitu vitamuvitamu kumbe ni vichungu zaidi ya shibiri

Swala la machinga, naendelea kusisitiza kuwa, limewasaidia Sana wamachinga na mama ntilie kufanya kazi zao bila bughudha yoyote Ile mahala popote

Imewapunguzia na kuokoa pesa zao zinazofikia Laki tatu na ushee Kwa mwaka, Kwa maana ya kuwa wanalipia kila siku 1000 ya ushuru
Hadi kufikia malipo ya sh 56 tu Kwa siku Kwa maana ya Tsh 20 Kwa kitambulisho

Sasa ninyi iingieni kijingakijinga hiyo Sera kuwahusu wamachinga bila kuuboresha, hamtakaa Ikulu, wamachinga watamfurumsha Ikulu huyu mtu wenu
Jambo la msingi, umeshajua kwamba ataingia ikulu, hilo la kufurumshwa utaelewa taratibu tu kwamba haliwezekani!
 
Hv kale kamrad cha bk 20 kilikuwa cha nan???tuanzie hapo kwanza

Back
Top Bottom