Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Songwe na Rukwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika

=======
Laela , Momba

Kumekucha Momba

Rukwa moja
 
Attachments

  • Mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu, Chitete - Mo ( 352 X 640 ).mp4
    3.5 MB
  • Subpost 2 - Mapokezi ya mgombea wetu wa urais wa JMT Sumbawanga. _v_️ Mmeeleweka ( 352 X 640 ).mp4
    1.7 MB
Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika

=======

Kumekucha Momba
Naona walinzi wake wanatimiza wajibu wao sawa sawa,wa kuhakikisha hashikani mikono na waliofurika kumsikiliza.Ni jambo jema na la muhimu sana.
 
Na waonge

na Waongeze nguvu kabisa maana Lissu ni Wanted by the evil forces dead and live
 
Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika

=======

Kumekucha Momba
Mungu aendelee kukulinda na kukupa kibali mbele ya watesi wako, Tuko pamoja Mh Tundu Lissu endelea kuwafungua Watanzania juu ya adui yetu mkuu CCM
 
Naona walinzi wake wanatimiza wajibu wao sawa sawa,wa kuhakikisha hashikani mikono na waliofurika kumsikiliza.Ni jambo jema na la muhimu sana.
Alipoingia tunduma tuliwaona watu wengi kila media ilionyesha, ila hapo momba naona kamera zimegoma kutoa picha za kuonyesha nyomi.
Tuonyesheni tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…