mzee anaomba kura kibabe tunamsubiri nyanda za juu kusuni alete huo ubabe wake kama hajabaki mwenyewe mkutanoni, maana Njombe tulichagua wote wa CCM na maendeleo hatuajpata ukilinganisha na sehemu zenye upinzani.Mwaka huu asitudanganye kama 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee anaomba kura kibabe tunamsubiri nyanda za juu kusuni alete huo ubabe wake kama hajabaki mwenyewe mkutanoni, maana Njombe tulichagua wote wa CCM na maendeleo hatuajpata ukilinganisha na sehemu zenye upinzani.Mwaka huu asitudanganye kama 2015.
kwani shida nini mpaka mnashindwa kuwa live kwenye mikutano yenu? na hata mkiwa live hamna ubora kuanzia sauti mpk picha?Bado ila saa 10 tutakuwa sumbawanga
Takataka babakoEmbu toa hiyo takataka hapa
Ally sidhani kama atarejea bungeni Aida Kenan kamshika sanaMpite na Kwa Ali kule Namanyere kwa wachawi.
TCRA wapo vitani kuhakikisha hatuwi live wammenda mbali mpaka video zetu zinazowekwa YouTube wanazichezea sauti.kwani shida nini mpaka mnashindwa kuwa live kwenye mikutano yenu? na hata mkiwa live hamna ubora kuanzia sauti mpk picha?
mpiga bao?Mbona hapo hamuonyeshi kama mlivyo onyesha tunduma?
Au kamera za juu mliziacha huko tunduma?
Mungu abariki makamanda. Alishaona dalili ndio maana alizidi kujipendekezaAlly sidhani kama atarejea bungeni Aida Kenan kamshika sana
Mbona hapo hamuonyeshi kama mlivyo onyesha tunduma?
Au kamera za juu mliziacha huko tunduma?
Siku zake zinahesabika, nasikia kesho mko Namanyere na mkutano mkubwa unawasubiri Kirando mwambao wa ziwa Tanganyika. Ningekuwa na nafasi ningekwenda kushuhudia mwisho wa Ally Mabodi.Ally sidhani kama atarejea bungeni Aida Kenan kamshika sana
Nikweli leo tumepigwa kwela mji mdogo wa Laela tunaelekea Sumbu wangaSiku zake zinahesabika, nasikia kesho mko Namanyere na mkutano mkubwa unawasubiri Kirando mwambao wa ziwa Tanganyika. Ningekuwa na nafasi ningekwenda kushuhudia mwisho wa Ally Mabodi.
Hongereni mkuu, huwa nautembelea sana huo mkoa maana kazi yangu inahusisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe na Rukwa.Nikweli leo tumepigwa kwela mji mdogo wa Laela tunaelekea Sumbu wanga
Picha zote mpaka mchakachue ndio mlete jioni jua limeenda
Wakiona watu wengi wanaweka live wakiona wachache hawawekikwani shida nini mpaka mnashindwa kuwa live kwenye mikutano yenu? na hata mkiwa live hamna ubora kuanzia sauti mpk picha?
Huenda tukakutana na Magufuli katikati hapo yeye anatoka kigoma kuja Rukwa na sisi tunaelekea Kanda ya ziwa.Hongereni mkuu, huwa nautembelea sana huo mkoa maana kazi yangu inahusisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe na Rukwa.
TCRAkwani shida nini mpaka mnashindwa kuwa live kwenye mikutano yenu? na hata mkiwa live hamna ubora kuanzia sauti mpk picha?
Hongereni mkuu, huwa nautembelea sana huo mkoa maana kazi yangu inahusisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe na Rukwa.
Mbona nilisikia yeye akitoka Kigoma anapita Tabora?Huenda tukakutana na Magufuli katikati hapo yeye anatoka kigoma kuja Rukwa na sisi tunaelekea Kanda ya ziwa.
Mwanangu unazingua😂😂😂😂Embu toa hiyo takataka hapa
Anatukwepa lazima tupite nae juu kwa juu.Mbona nilisikia yeye akitoka Kigoma anapita Tabora?
Kwa iyo utaenda kumpigania Lissu?Sawa. Kwa kuwa tume ya uchaguzi ni ya kwake. Watamtangaza mshindi hata akishindwa. Ila ya Beralus yatatukuta.