17 September 2020
Sumbawanga, Tanzania
Wananchi wafikisha kilio chao kwa Tundu Lissu
Kwa imani kubwa wananchi wameamua kufikisha vilio vyao kwa Tundu Lissu mgombea wa Urais kupitia CHADEMA baada ya kukosa imani na serikali ya CCM Mpya na mgombea wake John Magufuli.