Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Mwisho wa video Kuna polisi akishangilia kwa furaha kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamtakia heri na mafanikio makubwa. Tuendelee kuchangia kampeni za chama chake.Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika
=======
Kumekucha Momba
Mwisho wa video Kuna polisi akishangilia kwa furaha kuu
Usiwe na haraka dadaanguAlipoingia tunduma tuliwaona watu wengi kila media ilionyesha, ila hapo momba naona kamera zimegoma kutoa picha za kuonyesha nyomi.
Tuonyesheni tuone.
Sawa. Kwa kuwa tume ya uchaguzi ni ya kwake. Watamtangaza mshindi hata akishindwa. Ila ya Beralus yatatukuta.
Huyo keshapigwa bao huko ubelgiji siku nyingi sasa hapa ataweza kweli?Wewe onesha ya kwako. Unataka kuona jinsi Lissu anavyo
mpiga bao?
Kwa hiyo umepeleka kwa fundi akazishone ndio ulete binti?Usiwe na haraka dadaangu
Serikali isikilzeni hii🤸Tunduma , sikiliza kwa makini
Jamaa anaenda wamekuwa wakionyesha sehemu wanazopata nyomi.Mbona hapo hamuonyeshi kama mlivyo onyesha tunduma?
Au kamera za juu mliziacha huko tunduma?
Tunaelekea sumbawanga jioni hii patakuwa hapatoshi ni kuifuta kabisa CCM
Fyekelea mbaliii[emoji2506]Tunaelekea sumbawanga jioni hii patakuwa hapatoshi ni kuifuta kabisa CCM
na wew matako acha keleleUna washwa eeh !!!?.
Tunawafuatilia kwa karibu kabisa mtujuze yanayojiri huko manake hiki ndio chombo pekee kwani tv na redio haziaminiki.Tunaelekea sumbawanga jioni hii patakuwa hapatoshi ni kuifuta kabisa CCM
Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika
=======
Kumekucha Momba
ni mkakati maalumKwako Kamanda hivi Chadema hakuna kitengo cha IT mbona wapo kimya kufanya fast update on the media ?
Bado ila saa 10 tutakuwa sumbawanganimeisha fika sumbawanga boss