kama hujalogwa basi ulizaliwa njitiLisu hana ushawishi kabisa uwongo mbaya
17 September 2020
Sumbawanga, Rukwa
Tanzania
Mapokezi ya kihistoria kwa Tundu Lissu na kwa CHADEMA hakika ni kimbunga
Mizimu yote na ndugu zao wachawi wameshapiga magoti na kukiri kwa pamoja kuwa Raisi ajaye ni Tundu Antipas Lissu, hivyo hawapingani naye tena bali wanamuunga mkono!!!!Mpite na Kwa Ali kule Namanyere kwa wachawi.
Kumbe na wewe unamfuatilia Rais to beAlipoingia tunduma tuliwaona watu wengi kila media ilionyesha, ila hapo momba naona kamera zimegoma kutoa picha za kuonyesha nyomi.
Tuonyesheni tuone.
wap na unaona n tab iliyochukua hapo acha roho ya kwa niniPicha zote mpaka mchakachue ndio mlete jioni jua limeenda
Hatari sana !17 September 2020
Sumbawanga, Tanzania
Mh.! Tundu Lissu Apokelewa, Huku Maandamano yamtaka Magufuli aondoke 2020
Mungu wabariki WazunguMAREKANI YAIONYA TANZANIA KUFANYA UCHAGUZI WA HAKI/KILIO CHA BAKI KWA WALIOKATWA NA NEC.....Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Balozi Donald Wright atoa rai hiyo alipokutana na waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi
Wizi na ulaghai mwisho mwaka huu
Mwanangu unazingua
Hiyo ibara ni uhuni mtupu. Hivi watu huwa wanatoa wapi akili kubwa hivi ya fitna lakini ya kupeleka mambo ya msingi mbele hakuna?tuache utani LISSU ni habari nyingine,ninachokiona kuna mtu anasubiri ibara 41(7) ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania tu.Huu ndio utakua muarobaini wake lakini kwa sanduku la kura ni ngumu kusema ila Lissu habari nyingine
Kivipi ndugutuache utani LISSU ni habari nyingine,ninachokiona kuna mtu anasubiri ibara 41(7) ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania tu.Huu ndio utakua muarobaini wake lakini kwa sanduku la kura ni ngumu kusema ila Lissu habari nyingine
nashangaa wanaopoteza mda wakati tunawaza kumpa awmu ya tatu, china wenyewe washasema raisi wao ni wa milele, russia the same,
Utakuwa unawaza mwenyewe Mkuu ,hakuna Mtu mwenye Akili timamu anaweza kuuwaza Ujinga huo.