Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
=======
Hujuma : Huduma ya kivuko kuelekea ukerewe imesitishwa tangu saa 3 asubuhi baada ya Lissu kufika kivukoni na wahudumu wameamrishwa kujivicha , tunaposema ccm imeishiwa huwa hatutanii
Atumia Mtumbwi kufika ukerewe baada ya kufanyiwa hujuma za kishamba na Mamlaka
Your browser is not able to display this video.
======
Ukerewe noma !
Rorya Usipime !
Attachments
Subpost 4 - UKEREWE Mpooooooooooooooo!! Mmeeleweka sana leo MAKAMANDA wa UKERE ( 426 X 640 ).jpg
36.2 KB
· Views: 1
Subpost 1 - Sisi tumewaelewa sana wanaRORYA. Leo mmetuma UJUMBE mkubwa na muhim ( 352 X 640 ).mp4
7.9 MB
Subpost 2 - Sisi tumewaelewa sana wanaRORYA. Leo mmetuma UJUMBE mkubwa na muhim ( 352 X 640 ).mp4
Kwa mara ya kwanza alipofika Mwanza alishindwa kuhutubia Ukerewe baada ya wahudumu wa kivuko kutishwa , hivyo kuficha kivuko na kukimbilia kusikojulikana .
Kwa mara ya kwanza alipofika Mwanza alishindwa kuhutubia Ukerewe baada ya wahudumu wa kivuko kutishwa , hivyo kuficha kivuko na kukimbilia kusikojulikana .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.
Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Kwa mara ya kwanza alipofika Mwanza alishindwa kuhutubia Ukerewe baada ya wahudumu wa kivuko kutishwa , hivyo kuficha kivuko na kukimbilia kusikojulikana .
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA .Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Mkuu naona Magufuli kaamua kutupigia makelele na Chopa lake huku Kawe. Ameshapita kwenda Bagamoyo baada ya mkutano wa Tanganyika Packers kudoda ila Chopa lake limebaki kutupigia makelele na kupiga round angani. Yani utoto tuuuu
Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Mkuu naona Magufuli kaamua kutupigia makelele na Chopa lake huku Kawe. Ameshapita kwenda Bagamoyo baada ya mkutano wa Tanganyika Packers kudoda ila Chopa lake limebaki kutupigia makelele na kupiga round angani. Yani utoto tuuuu
Mkuu naona Magufuli kaamua kutupigia makelele na Chopa lake huku Kawe. Ameshapita kwenda Bagamoyo baada ya mkutano wa Tanganyika Packers kudoda ila Chopa lake limebaki kutupigia makelele na kupiga round angani. Yani utoto tuuuu
Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kuna nyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.