Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
=======
Hujuma : Huduma ya kivuko kuelekea ukerewe imesitishwa tangu saa 3 asubuhi baada ya Lissu kufika kivukoni na wahudumu wameamrishwa kujivicha , tunaposema ccm imeishiwa huwa hatutanii
Atumia Mtumbwi kufika ukerewe baada ya kufanyiwa hujuma za kishamba na Mamlaka
======
Ukerewe noma !
Rorya Usipime !

Attachments
-
Subpost 4 - UKEREWE Mpooooooooooooooo!! Mmeeleweka sana leo MAKAMANDA wa UKERE ( 426 X 640 ).jpg36.2 KB · Views: 1 -
Subpost 1 - Sisi tumewaelewa sana wanaRORYA. Leo mmetuma UJUMBE mkubwa na muhim ( 352 X 640 ).mp47.9 MB
-
Subpost 2 - Sisi tumewaelewa sana wanaRORYA. Leo mmetuma UJUMBE mkubwa na muhim ( 352 X 640 ).mp47.9 MB