Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Jimbo na Mbunge alikuwa wa CHADEMA na alikuwepo kutuwakilisha lakini wewe mjinga wa CCM unataka mimi pia ningekuwepo na Mh. Lissu angekuwepo huku ukijua na WanaUkerewe wote mnajua wakati ule alikuwa anapigania uhai wake msiojulikana mlipotaka kumuua. Rais wa nchi anayewakilisha wananchi wote, wa Vyama vyote na wa Makabila yote alikuwepo sasa nyie vilaza tatizo liko wapi? Angekosekana Rais ambaye ndo mmiliki wa Kivuko kilichopata ajali ungempigia nani kura yako?
 
Tuendelee kumuombea na kuchangia kampeni zake.
 
Mafuriko hayazuiwi kwa mikono na maamri kutoka juu
 
Mkuu naona Magufuli kaamua kutupigia makelele na Chopa lake huku Kawe. Ameshapita kwenda Bagamoyo baada ya mkutano wa Tanganyika Packers kudoda ila Chopa lake limebaki kutupigia makelele na kupiga round angani. Yani utoto tuuuu
Hehehe hana cha kuwambia wana darusalamu
 
USHINDI kwa CCM utakuwa wa kishindo nyie endeleeni kupeana moyo.

CCM bado ipo sana katika siasa za Tanzania.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ile ilikuwa kafara ya ccm ndio maana hawakuwa na uchungu na lile tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu akili kaziacha nyumbani
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala Watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda mrefu sasa hivi kivuko cha Kisorya Ukerewe kimekuwa na matatizo ya injini ni nadra sana ikapita wiki bila kuharibika na kufanyiwa matengenezo na hali hii imekuwa ikijitokeza karibu kila wiki nafikiri kinachosubiriwa hapa ni maafa makubwa

Kwa sababu inaelekea kama vile hakuna anayeona au kulipa uzito tatizo hilo la ubovu wa kivuko
 
Tulia wewe konyo mlamba viatu wa wala rambirambi. Hilo unaloletahapa halina mashiko tena rudisheni rambirambi zetu za tetemeko kule muleba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…