Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Mkuu shukrani sanaHakika kama hali ndio hii CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa utulivu tuu kwani ukweli ni kuwa wamechokwa na wao bila kutambua wanalazimisha kuchokwa zaidi na kuchukiwa.
Kitendo cha kumfanyia figisu Lissu asiende kisiwani Ukerewe eti Kivuko kibovu kisha Lissu akaamua Ku risk na kutumia mtumbwi ili afike Ukerewe kimemgeuza kuwa Shujaa mkubwa na ukijumlisha na spana alizochakazia huko basi mambo ni bambam na CCM Imeisha.
Jee kweli CCM itapona mwaka huu? Maana hata wazee na kinamama ambao ndio walikuwa tumaini kuu la CCM nao wameitosa CCM na Magu ndio kabisa hawataki kumsikia.
Lissu uko anapoteza muda tuuu
Kwahyo apo anaongea na marehemu auHapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Labda kura hewa.Wewe tulia utaona wembe ni ule ule USHINDI.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Nafikiri umegundua kumbe Yale mnayokaa pale Lumumba na kujilisha upepo na Dr Bashiru na Polepole na tofauti sana na uelewa was RAIA kwa sasa huku mtaani.Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Kama wafuasi mna akili hizi basi tuna safari ndefu mnoWakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Ila watz tumekua mazuzu... Labda tunasubiri October 28 lkn ccm imeonyesha matendo yote ya kigaidi na kishetani na hii ni serikali ya kishetani kabisa lkn tuko kimya...Kweli kabisa mkuu hata matendo wanayofanya Polisi ni ya kichonganishi. Taahira yeye anafikri wako upande wake! Wanavyopiga raia ovyo ovyo wanaichafua serikali ili wananchi wachukue!
Nani ameshindwa uongozi..Nyie lienilieni tuu maana hamna jinsi na mwaka huu CCM itawafundisha siasa za kimaendeleo na kuachana na uanaharakati.Mtu aliyeshindwa uongozi kutosha kwake ni kupi ?
Kwa kweli watz tumedharauliwa sana na hawa maccm. Ona walivyomfanyia roho mbaya Lissu kwenye kivuko sisi tuko kimya tu! Wanarusha mawe wananchi tuko kimya tu!Ila watz tumekua mazuzu... Labda tunasubiri October 28 lkn ccm imeonyesha matendo yote ya kigaidi na kishetani na hii ni serikali ya kishetani kabisa lkn tuko kimya...
Siasa za kipumbavu mwaka huu hazina nafasi!Nani ameshindwa uongozi..Nyie lienilieni tuu maana hamna jinsi na mwaka huu CCM itawafundisha siasa za kimaendeleo na kuachana na uanaharakati.
October 28 kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
This is so sad. Maccm yanalazimisha kwa nguvu watz wapigane. Tutafika tu hukoKwa kweli watz tumedharauliwa sana na hawa maccm. Ona walivyomfanyia roho mbaya Lissu kwenye kivuko sisi tuko kimya tu! Wanarusha mawe wananchi tuko kimya tu!