Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
..Lushoto hiyo.
Mungu akulinde sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Lushoto hiyo.
..Lushoto hiyo.
Naskia Mwigulu kaacha kufanya kampeni haoni future yake. Analala na kushinda kwa Mkurugenzi kuona Kete ya ushindi huko. Je itamsaidia?"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Check hao polisi wameacha kazi ya Ulinzi wanasikiliza Sera. Wamejisahau Magu akiwaona hao wamekwisha. Lakini ndivyo ilivyo Lissu haepukiki tena.
Hizi ndoto mwisho tarehe 28. Na mkihamasishana kufanya fujo mtakiona.CCM tutaimiss sn baada ya tarehe 28/10/2020
TrueRais Ni Lissu system za nchi zishahamua
Kuhusu nini?Mzee Mwanakijiji nakuona online , tunaomba maoni yako
Khs hii.Kuhusu nini?
kuhusu uchaguzi 2020Kuhusu nini?
Hamtaki Tena picha za nyomi?Anafanya utalii maana soon anarudi ulaya kula bata.
Maswali gani haya?Hamtaki Tena picha za nyomi?
Mzee kachoka huyu type ya walamba viatu Kama bashru, polepole na kabudiKuhusu nini?
Kuhusu nini?
UmejuajeAnapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
Mbona unaidhalilisha jinsia yako wewe?Propaganda za kike.