majesty255
Member
- Oct 28, 2020
- 19
- 11
watanzania au ww haunaimani nae bro...usisemehe watu semea nafsi yako @ chagu wa malunde saidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 mkuu huyu meko full safar hii kalamba jiwe la chumvi ya ng'ombe... hatuja sahau /distinction,A+ ,B+ alaf tunarudshwa tena kwny division one,A-plain,B-plain.... mara wazir wa elim kaongea hv...matamko tamko tuh yasiyo na mbelewala nyuma..sahv wakawatamkie ndugu zao wa chatonge hukoo"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.
Sent using Jamii Forums mobile app