Live coverage on JamiiForums
kuishinda Israel kwa sasa ni ngumu hasa pale wanapomlilia Mungu kutokana na matukio yote ya kushambuliwa kwao .
hawa watu huwa ni hatari sana pale wanapokuwa wakilipiza kisasi kwa matukio waliyotendewa na wanakuwa na nguvu si tu katika mwili na akili bali pia katika ulimwengu wa kiroho.
kumbuka hili ni taifa lililobeba baraka za mataifa mengine.
ukilishambulia na we ujiandae kushindwa vibaya mno. huu ni ukweli mchungu ambao wasiolipenda inabidi walipende tu.
 
Mnajimililikisha Mungu kwamba wengine hamna ni wenu tu basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…