Hata kama isingekua hivyo kwani ukipita suez canal unaelekea wapi kama sio kupita red sea!?Mafuta hupita strait of hormuz,ambayo ni bahari ya Iran,mafuta na gesi yote ya saudia,qatar etc,we furahia tu refinery za mafuta za Iran kupigwa,nauli ya daladala itakua buku tano kimara-gerezani
Mtazamo wako sio sahihi.Hizô Sheria ni geresha tuu.
Hiyo ya Ukraine ni operation tuu.
Vita ni Kuua na kuangamiza Basi.
Wananchi wasiouawa tafsiri Yake wamejisalimisha na kuungana na adui
Mtazamo wako sio sahihi.
Warhead haitafsiriwi kama 'kichwa cha vita' bali ni 'kombora ama makombora'.Duru zinasema kuwa Iran imezijulisha nchi za kiarabu zilizo eneo hilo kuwa inajiandaa kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel.
Iran imefafanua kuwa shambulizi linalo litakuwa na nguvu sana na silaha zitakazo tumika zitakuwa na nguvu kuliko la hapo awali.
Mpaka sasa mmesha ombwa ushahidi wa hizo tumba zenu lakini mpaka sasa hamjawahi kuleta zaidi ya maneno.Ndio maana Wayahudi wa kike walipiga viwanda vyenu vya silaha na kujamisha radar😂
Shetani ni baba wa Uongo
Mpaka sasa mmesha ombwa ushahidi wa hizo tumba zenu lakini mpaka sasa hamjawahi kuleta zaidi ya maneno.
Alafu nini cha ajabu kwa mwanamke kuendesha ndege ya kivita?
Ya kwamba mwanamke akiendesha ndege ya kivita basi uwezo wake wa kupiga target unapungua au mabomu yaliyoko kwenye hiyo ndege yataogopa mwanamke hivyo hayatalipuka?
Unashangaa mwanamke kuendesha ndege ya kivita ila hushangai nchi yako kuongozwa na mwanamke ambaye kauli yake moja tu ina tosha kukufanya ww na ukoo wako mzima mkafirwa mchana kweupe na mamilioni yote ya watu walioko ndani ya nchi hii wakaufyata?
Unataka afanye siri ..au avizieMpigaji serious hukaa kimya.
Sasa huyu muajemi pekeche pekeche zote hizi anadhani haziwafikii walengwa?
Huwa inajulisha ili kuepusha ndege za abilia kupigwa na makombora.Sasa anawaambia jirani ili iweje! Si apeleke moto? Baada ya hapo asubiri maana gea ya kwanza ni vinu vya nuclear na mitambo ya mafuta!
Kwa hiyo Israel siku hizi ni waarabu?Kwa ulimwengu wa Waarabu wanaokatazwa kuendesha gari huoni ni ajabu Mwanamke kurusha Ndege?
Mwanamke kuendesha Ndege ni habari kûbwa katika ulimwengu wa kiarabu kutokana na vile waarabu wanavyowachukulia Wanawake
Huu ni utoto sasa wanawake utawachukiaje akati huo uislam unamuheshim mwanamke ,?Kwa ulimwengu wa Waarabu wanaokatazwa kuendesha gari huoni ni ajabu Mwanamke kurusha Ndege?
Mwanamke kuendesha Ndege ni habari kûbwa katika ulimwengu wa kiarabu kutokana na vile waarabu wanavyowachukulia Wanawake
Ukirusha jiwe kwenye nyumba ya watu lazima uchapwe ili siku nyingien usirudia hatkama haujamuuniza mtu ..Hivi huyu Iran anataka nini, si alisema shambulizi la Israel halikuwa na athari yoyote ya maana sasa iweje anataka aishambulie tena Israel..😛😛😛
ticket za ndege ya karibu ni kuanzia mwezi wa 7 mwaka 2025 .walioko airport tel Aviv walifanya booking miezi miwili iliyopitaMagaidi wa Israel safari hii hayo mahandaki mnayoingiaga kujificha siyo sehemu salama pia
Ndiyo.Kwa hiyo unakili kuwa shambulizi la Iran dhidi ya Israel lilikuwa na madhara makubwa ndo maana Israel ikajibu?
Kwa hiyo Israel siku hizi ni waarabu?
Huu ni utoto sasa wanawake utawachukiaje akati huo uislam unamuheshim mwanamke ,?
We chizi kweli hili jukwaa la kupeana taarifa na kujadili, hatuna uwezo wa kumfata Iran kumwambia huo utumbo wako ,.mwambieni Iran ujumbe huu. NCHA YA MKUKI HAIPIGWI NGUMI! JIFUNZENI KWA HAMAS NA HISBOLLAH. WAMEANZISHA VITA WENYEWE HIVI SASA KILA KUKICHA UTASIKIA WAMEKUFA WATU SABINI WENGI WAO NI WATOTO NA WANWAKE ILI DUNIA IWAONEE HURUMA VITA ISITISHWE. NDUGU ZANGU KULE KUNA BENJA YEYEY HANA UCHOGO MSAMAHA HASIKII LA MNADI SWALA WALA LA MUAZINI, YEYEY AKIANZA NI KUBONDA TUU.
Pole ndugu kwa kupeteza muda wako..mtu aliyeaminishwa isreli sio watu wa kawaida hata wakibondwa mara 10 wao watakuja kuwatetea kuwa huo wamepiga sehem za wazi ..na isreli Italipa ..We chizi kweli hili jukwaa la kupeana taarifa na kujadili, hatuna uwezo wa kumfata Iran kumwambia huo utumbo wako ,.
Kwanza mtu mwenyewe huna impact hata mtaani kwako afu unatoa maelekezo kama kiongozi wa Nato vile