Live coverage on JamiiForums
Houthis na Hezbolah wamepoa sana siku hizi, siwasikii kabisa
 
Hizi ndo habari ninΓ zozipenda, muda wa Israeli kuwafanyia fujo nchi zingine kwa kuwa anajua hawezi kuguswa inabidi ufike mwisho. Nasikia mpango ni kutuma drones kuukeep busy mfumo wa ulinzi wa anga halafu zinatumwa ballistic missiles. Hata zikiwa intercepted ni somo tosha kwa myahudi na next time atawaza mara mbili kabla ya kuwachokoza wenzie
 
Iran hawezi jaribu kurusha kombola lolote,..yeye anasubiri achokozwe kwanza..ndo aanze mashambulizi
 
Kuna kitu bado sijaelewa, vita ni Iran dhidi ya Israel, sasa hizi nchi za Jordan, Syria, Iraq zinajihushaje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…