Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Kila siku tunawaambia humu hizo Air defense za Israel zipo tu kujilinda na vikombora vya Hamas, ona sasa wanavyoaibishwa,Kuna kambi ya jeshi la anga ya Israeli imechakazwa yote Israeli ililopoka kuwa imetibua asilimia 99% ya shmbulizi kumbe ngoma ilikuwa bado mbichi
Kuna makombora yameshuka mazima mazimaKila siku tunawaambia humu hizo Air defense za Israel zipo tu kujilinda na vikombora vya Hamas, ona sasa wanavyoaibishwa,
View: https://twitter.com/Kanthan2030/status/1779291726894735513
Jamaa hawa amini macho yao.
Iran alijua ataangaliwa tu⚡️BREAKING:
Iranian Armed Forces are monitoring Jordan's movements. If they engage, they will be the next target.
Israel imelipua drones ila hakuna hata missile moja iliyolipua ndani ya nchi yake.Kuna kambi ya jeshi la anga ya Israeli imechakazwa yote Israeli ililopoka kuwa imetibua asilimia 99% ya shmbulizi kumbe ngoma ilikuwa bado mbichi
😂😂😂 Nini hichi mkuu, does it even look like Ballistic missile?
Hizo ni cruise missile au zile drone
Babu mbona unakuwa kichwa ngumu. Nina video kibao Israel kapigwa.
View: https://twitter.com/DrEliDavid/status/1779308085263134801
Hata Iran hawakuamini kama Israel wana System kama hii
Hiyo page intoa taarifa huko...Kamuangalia msemaji wa jeshi la Israel kuna taarifa anazitoa ambazo zinapingana na wewe.
Drone zilirushwa ili kuichosha mifumo ya ulinzi. Israel imepatuwa ulinzi na UK, USA, France na Israel yenyewe ina Iron dome.Hizo ni cruise missile au zile drone