LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Kichapo kilikuwa kikali sana zile drone zilikuwa za kuizuga mifumo ya ulinzi
1713053516012.jpg
1713053500423.jpg
1713053502200.jpg
Screenshot_20240414-031033.jpg
1713053504068.jpg
 
Eye for an eye.

Iran struck Nevatim air base with at least seven of its new hypersonic missiles.

Nevatim is home to the F-35 fighters that attacked the Iranian consulate in Damascus.

Not a single Iranian missile was intercepted.

Let that sink in.

Israel is defenseless.

—Scott Ritter
 
⚡Israeli media citing the Home Front Command: There is no longer a need to remain near safe areas throughout the country
 
Msemaji amesema minor damage near dinoma and mtoto wa 10 year Arab kaumia baada ya kuchomwa na ncha ziliizoanguka baada ya mlipuko angani
 
Hizo ni cruise missile au zile drone
Drone zilirushwa ili kuichosha mifumo ya ulinzi. Israel imepatuwa ulinzi na UK, USA, France na Israel yenyewe ina Iron dome.

Alichokifanya Iran katuma drones nyingi ili kuichosha mifumo na kuifanyawa ipagawe. Kilichotokea mifumo inazidiwa. Missile nyingi na drones nyingi. Hivyo mfumo hapo unazidiwa hauwezi ukafanya kazi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom