Live coverage on JamiiForums
Umechambua deeply sana mkuu, kwa jicho la kiufundi nimekuelewa vizuri.
 
Jordan na Saudi Arabia zinatoa anga na ilo anga linatumika kwa defense ya Israel tegemea ndege za US UK France pia German anaweza kuja kusupport defence ya Israel sas hapo Israel anauwezo mkubwa wa kwenda kupiga nuclear sites zote za Iran na akijua nyumban huku anausalama wa anga kwa mifumo yake mingi alonayo imara ila pia kwa support ya west
 
Maneno meeeeeeengi, Israel Kama ana ubavu ajibu.Simple tu
 
Kaa na kukaririshwa na mabeberu kwamba wana nguvu za kijeshi wakati ni mapunga tu. Iran kashusha mvua ya makombora ndani ya ardhi ya matapelei wa kizayuni na hakuna kitu atafanya Israel.
Mvua gani wakati zote zimekuwa intercepted! Wewe useme Israel kaingia gharama ya interception tu.
 
Only few reached targets Israel air security is strong war escalation is a serious offense in my opinion I do believe Israel will retaliate strongly
US imeiomba Israel isifanye shambulio lolote Iran maana itahatarisha amani ya mashariki ya kati na kuleta vita nyingine kubwa.
 
Patamu hapa
 
Tunasema " amejaa kwenye mfumo"
 
Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea
Hakuna nchi ambayo haina ally kwenye vita, utakuwa punguani kudhani kwamba hata Iran yupo kivyake kwenye vita. Ana support ya Syria, Yemen, Iraq na Russia. If anything urusi atasaidia hasa kwenye defence systems.
 
US imeiomba Israel isifanye shambulio lolote Iran maana itahatarisha amani ya mashariki ya kati na kuleta vita nyingine kubwa.
Us anataka Iran ipunguzwe nguvu sasa sio baadae maana Iran anapata nguvu kila kukicha huko mbeleni hawata muweza hawata mpa support israel ku attack Iran ila watamsaidia kujilinda
 
Unachekesha kweli. Hizo drones na missiles jana zimerushwa kutokea Iran zaidi ya km 2000 wameanza kuzuia kuanzia Iraq mpaka Jordan kwani huko kote zilipopita hakuna ulinzi?
 
Kaingia kingi kipi? Ulitaka Iran apigwe tukio halafu akae kimya?. Westerners waache kujiona superior sana, mwisho wao upo karibu sana.
 
Us anataka Iran ipunguzwe nguvu sasa sio baadae maana Iran anapata nguvu kila kukicha huko mbeleni hawata muweza hawata mpa support israel ku attack Iran ila watamsaidia kujilinda
Hata jana usiku Biden kasema wataisaidia Israel kwenye defence systems tu, hawaafiki Israel kuishambulia Iran coz italeta vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…