Live coverage on JamiiForums
BREAKING:

The Russian Foreign Ministry releases a statement saying Iran's attack on Israel was taken:


"as part of the right to self-defense under Article 51 of the UN Charter in response to attacks on Iranian targets in the region."
Wamesahau kuwa Ukraine anachofanya saivi ni self defence. Waache kulalamika na kuona wana haki ya kuishambulia Kiev wakati hawakuwahi kurushiwa hata jiwe.
 
Kambi ya marekani kule Iraq 🇮🇶 walisema wata revenge na kweli waliwashamoto kambi ilichakaa,sasa wewe unaendelea kuzungumza kwamba wapo kwenye mtego,huo mtego upi unaozungumza wewe kila siku??ukijiona wewe huna akili basi sio wote hawana akili.
 
Mfano ikitokea WW3, Basi itakuwa na influence kubwa ya mvurugano kati ya Christians and Muslims.... Kiasi fulani huenda ikawa ni vita vya kidini
Ilishatabiriwa mpaka kwenye vitabu vya dini. Vita kubwa ambayo itakamilisha dalili kubwa za mwisho wa dunia ni kati ya Jews na Muslim. Wakristo wapo tu wanaelea elea wanampa nguvu Jew ambae ni mfuasi wa Anti Christ.
 
Yale yale ya Russia imeshindwa vita Ukraine, kumbe jamaa anajimegea maeneo tu,wew endelea kupokea propaganda ukweli mwanaume Iran kapiga,hayo mengine sis hatujui
 
Jaribu kufuatilia Mkuu, hata hizo video ukienda X, hazina uthibitisho kama ni za mashambulizi ya Iran ya jana.
 
Catholic ndio wenyeshida. sisi KKKT na Orthodox tunaishi vizuri tu.
KKKT ni hapa Bongo tu. Usilinganishe kkkt na taasisi kubwa kama Catholic au orthodox.

Ili ujue kkkt ni ya kibongo hebu ona jinsi wachungaji wake walivyo na nguvu kuliko taasisi yao. Muone Kimaro au Matisai.
 
Umechambua deeply sana mkuu, kwa jicho la kiufundi nimekuelewa vizuri.
Kambi ya marekani kule Iraq 🇮🇶 walisema wata revenge na kweli waliwashamoto kambi ilichakaa,sasa wewe unaendelea kuzungumza kwamba wapo kwenye mtego,huo mtego upi unaozungumza wewe kila siku??ukijiona wewe huna akili basi sio wote hawana akili.
 
Dah ngoja tu nishie kucheka.
 
🚨 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.

it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast😂
 

Attachments

  • IMG_20240414_140400.jpg
    306.2 KB · Views: 3
  • IMG_20240414_132622.jpg
    22.6 KB · Views: 2
🚨 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.

it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast😂
Mbona hatuoni hii taarifa yako Al-Jazeera
 
[emoji599] 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.

it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast[emoji23]
Wafia dini kwa kujipaisha kwa uwongo mliwahesabu saa ngapi hao wanajeshi wa israel
 
Ukishiba dona na dagaa wa mafungu basi unaona kila unalowaza wewe ndio upo sahihi,ya Russia mlisema hivihivi huku mwamba anajimegea tu maeneo.Hata huyo Israel akikusikia angekushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…