Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Catholic ndio wenyeshida. sisi KKKT na Orthodox tunaishi vizuri tu.Mimi naona sio Christian and Muslims, ni Jews vs Muslims hao Christians ni kwamba hawajielewi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Catholic ndio wenyeshida. sisi KKKT na Orthodox tunaishi vizuri tu.Mimi naona sio Christian and Muslims, ni Jews vs Muslims hao Christians ni kwamba hawajielewi tu.
Wamesahau kuwa Ukraine anachofanya saivi ni self defence. Waache kulalamika na kuona wana haki ya kuishambulia Kiev wakati hawakuwahi kurushiwa hata jiwe.BREAKING:
The Russian Foreign Ministry releases a statement saying Iran's attack on Israel was taken:
"as part of the right to self-defense under Article 51 of the UN Charter in response to attacks on Iranian targets in the region."
Kambi ya marekani kule Iraq 🇮🇶 walisema wata revenge na kweli waliwashamoto kambi ilichakaa,sasa wewe unaendelea kuzungumza kwamba wapo kwenye mtego,huo mtego upi unaozungumza wewe kila siku??ukijiona wewe huna akili basi sio wote hawana akili.Iran anatakiwa kuwa mwangalifu sana. Anatafutwa kwa muda mrefu sana. Lilianzia kwenye maandamano ikashindikana kuuangusha utawala wa iran. Sasa akawekewa mtego kwenye ubalozi. Nae kaingia kingi.
Ukiipiga Israel ni sawa na emeipiga marekani. Matajiri watoa maamuzi wa Marekani wana asili ya Israel. Hivyo watatumia kila aina ya resouces. Kwenye ishu ya Israel kwa mmarekani hakuna mrengo wa chama.
Kwanini Iran ni threat. Ni ukweli kuwa Iran kwenye technologia ya silaha anakuwa kwa kasi kubwa. Ni hatari mtu kama huyu kuachwa aendelee kukua kwani mrengo wake unajulikana. Hivyo kila sababu ya kumcheleweshwa lazima itafutwe
Iran anatakiwa ajifunze kwa China. Wachina wao hawataki hizi papara za kujitutumua. Kati ya kitu ambacho angetakiwa kufanya ni kuwa na mazungumzo ya hapa na pale huku akiwndelea kujiimarisha kiuchumi na kiulinzi.
Pia swala la kufadhili makundi ya mbalimbali yanayoendelea kufanya vita nchi nyingine litamgharimu. Irani hajakuwa kiasi cha kuanza kufanya anayofanya.
Me naona anaingia kwenye mtego.
Ok sawa, basi wote tufuatilie kama tunataka kujua.Kuna haja gani ya kukuuliza kama nafahamu?
Ilishatabiriwa mpaka kwenye vitabu vya dini. Vita kubwa ambayo itakamilisha dalili kubwa za mwisho wa dunia ni kati ya Jews na Muslim. Wakristo wapo tu wanaelea elea wanampa nguvu Jew ambae ni mfuasi wa Anti Christ.Mfano ikitokea WW3, Basi itakuwa na influence kubwa ya mvurugano kati ya Christians and Muslims.... Kiasi fulani huenda ikawa ni vita vya kidini
Yale yale ya Russia imeshindwa vita Ukraine, kumbe jamaa anajimegea maeneo tu,wew endelea kupokea propaganda ukweli mwanaume Iran kapiga,hayo mengine sis hatujuiMleta mada acha siasa za upande. Hapo kwenye Israel is defenseless una proof ipi? So far Israel ameintercept kwa mafanikio makubwa attacks zote alizotumiwa.
Ni vizuri kufikiria at this moment busara zaiwaongoze wote wawili but so far Israel is by far more powerful kwa matokeo ya usiku wa kuamkia leo.
Jaribu kufuatilia Mkuu, hata hizo video ukienda X, hazina uthibitisho kama ni za mashambulizi ya Iran ya jana.Enzi hizo hakuna internet tunadanganywa tu. Mfano leo ukisikiliza vyombo vya habari makombora yote ya Iran yamekuwa intercepted ila ukienda X unakuta video live kabisa Irone dome inapishana na missile base za Israel zinachakazwa.
Haya ndo yale Yale ya Yom kipur 1973, Egpty kampiga Israel ndani ya siku kadhaa tu, ila propaganda sasa zilizofuatia.
Wewe mwenye mahaba,hata ukionyeshw utasema ni za Ukraine,wewe endelea kuna dona harafu fanya kama hakijatokea kitu Israel usijipe tabu saaanaNioneshe kwenye hio video base ipo wapi, maana siioni mimi
Utakuta wame post hadi ile miripuko ya GongolambotoJaribu kufuatilia Mkuu, hata hizo video ukienda X, hazina uthibitisho kama ni za mashambulizi ya Iran ya jana.
Noma sana Mkuu, ili mradi tu walete propaganda. Ukimuuliza nadhibitishaje kuwa hizo video ni za shambulizi la jana kutoka Iran kwenda Israel? Hana uthibitisho.Utakuta wame post hadi ile miripuko ya Gongolamboto
KKKT ni hapa Bongo tu. Usilinganishe kkkt na taasisi kubwa kama Catholic au orthodox.Catholic ndio wenyeshida. sisi KKKT na Orthodox tunaishi vizuri tu.
Kambi ya marekani kule Iraq 🇮🇶 walisema wata revenge na kweli waliwashamoto kambi ilichakaa,sasa wewe unaendelea kuzungumza kwamba wapo kwenye mtego,huo mtego upi unaozungumza wewe kila siku??ukijiona wewe huna akili basi sio wote hawana akili.Umechambua deeply sana mkuu, kwa jicho la kiufundi nimekuelewa vizuri.
Dah ngoja tu nishie kucheka.Jordan na Saudi Arabia zinatoa anga na ilo anga linatumika kwa defense ya Israel tegemea ndege za US UK France pia German anaweza kuja kusupport defence ya Israel sas hapo Israel anauwezo mkubwa wa kwenda kupiga nuclear sites zote za Iran na akijua nyumban huku anausalama wa anga kwa mifumo yake mingi alonayo imara ila pia kwa support ya west
Mbona hatuoni hii taarifa yako Al-Jazeera🚨 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.
it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast😂
Wafia dini kwa kujipaisha kwa uwongo mliwahesabu saa ngapi hao wanajeshi wa israel[emoji599] 44 Zionist military officers were killed in #Iran's missile attack on Navatim base.
it is interesting...
They say that 99% of the missiles have been destroyed, but they do not allow the images to be broadcast[emoji23]
Ukishiba dona na dagaa wa mafungu basi unaona kila unalowaza wewe ndio upo sahihi,ya Russia mlisema hivihivi huku mwamba anajimegea tu maeneo.Hata huyo Israel akikusikia angekushangaaJordan na Saudi Arabia zinatoa anga na ilo anga linatumika kwa defense ya Israel tegemea ndege za US UK France pia German anaweza kuja kusupport defence ya Israel sas hapo Israel anauwezo mkubwa wa kwenda kupiga nuclear sites zote za Iran na akijua nyumban huku anausalama wa anga kwa mifumo yake mingi alonayo imara ila pia kwa support ya west
Uwezo wako ndo umeishia hapa.Hona hoja kaa pembeni.
Najadiliana na wanaojielewa sio mashangingi ya kiume.
Watu kama ninyi huwa block.