residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ndio matutusa yanayopendwa na chama cha mambuzi hayo.Yeye anaamini kila mzungu au akiona kiingereza anaamini
99% ya vidude waliotuma ni vya engine za pikipiki na vilikua na havina mabomu.I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
Unafikiri watu wana akili za jipoyoto kama zako?attack kile mtu anaweza, ila kurusha makombora halafu yanadakwa kwa asilimia 99% ni huzuni sana. bora ungeishia kwenye mkwara tu manake sasaivi wameshajulikana uwezo wao umeishia wapi. na alipoona makombora yamedakwa, amekimbilia kusema mi sirushi mengine tena, inatosha. kwani yamemdhuru nani? hiyo ndio heavy price tulikuwa tunaisubiria?
Bajeti ya kutengeneza vifaru vinavyozibuliwa na bunduki za tabata ya ghaza?Hii haitoshi kukuogopesha?
Leo ngoja nikujibu kiustaarabu japo umekuja kichwa kichwa n utu uzima wako.Bajeti ya kutengeneza vifaru vinavyozibuliwa na bunduki za tabata ya ghaza?
Au una macho lakini hayaoni?
Siyo Wapalestina tu, sisi tunasali kutwa mara tano, hata wewe tunakuombea utoke kizani.Leo ngoja nikujibu kiustaarabu japo umekuja kichwa kichwa n utu uzima wako.
Hivyo vifaru mnavyosema vimezibuliwa ndio mpaka kesho hamuishi kuandika pray for Palestina yaan vimezibuliwa na bado waliovizibua wanaomba waombewe. Au ilimu uliyopata haijakusaidia. Ulienda skuli kusomea ujinga wewe?
That means anaweza zaidi kijeshi na inawezekana deni la nje linatokana pia na uwekezaji wake kijeshi. If that is not enough to fear you you must have problem. Kama namba ya wanajeshi walio active ni ndogo kuliko Iran ila bajeti yake ya kijeshi ni kubwa kiasi hicho means anawekeza zaidi kwenye technologyNadhani bajeti ni kubwa kulingana na kwamba kila mwaka anaingia vitani, pia ana deni kubwa la nje... So haiogopeshi
MUngu anatumia Israel kuleta ujumbe haichezewi hata kidogo. Mungu awabariki mfunguke zaidi kiakili muache mikurupuko.Siyo Wapalestina tu, sisi tunasali kutwa mara tano, hata wewe tunakuombea utoke kizani.
Wairan wameshasema tena, ile jana ilikuwa tiisha toto, mkiendelea na mauwaji ya Wapalestina na sisi tutakuja kwa nguvu haswa, jana ilikuwa kuwaonya tu.
Iran yatoa onyo; Tunaweza kufanya mara 100 ya jana bila kutetereka, tunaelekea huko, jana ilikuwa ni kutimiza ahadi tu.
Matokepo ya jana yalikuwa mazururi kuliko tulivyotarajia.
Alikumwagilia mbegu🤣🤣Mashoga kama baasha wenu mwamed mfiraji
Mfumo wao wa ulinzi unahusisha Airfoce na Navy za US, UK, France na Jordan. Sasa sijui huo ufumo unakuja sokoni na hayo majeshi kama bundle/package?Kwa sasa hivi ni bayana hakuna mfumo wa kiulinzi ambao ni bora kuzidi wa Israel, huu wa Israel utapata soko kote kote, shukrani wana wa Israel kwa kutuheshimisha humu maana tungepata aibu sana, hakungalika humu kwa tambo za wavaa dera., kweli nyie ni taifa teule, napata raha hadi naumwa...
Wale mnaosema iligharimu Israel USD 1b kujilinda wakati wa mashambulizi, mnasahau kwamba huo ni mtaji wa kuinadi mifumo yake Israel.
Mod msiungaishe huu uzi kule, humu tunajadili ubora wa mifumo ya Israel na soko lake....
======================
Iran tried to overwhelm Israel’s air defenses with five hours of missile and drone strikes overnight — but the offensive failed spectacularly.
Tehran targeted Israel with multiple waves of ballistic and cruise missiles, as well as explosives-laden drones, in retaliation for a deadly Israeli strike on Iran’s Damascus consulate earlier this month.
Despite the Iranian army claiming its blitz “achieved all its objectives,” the impact was small — minor damage was incurred at the Nevatim Air Base in the south of the country and a 7-year-old Bedouin girl was injured by fragments from an intercepted missile.
How Israel foiled Iran’s attack
Israel’s multilayered air defenses and close cooperation with allies kept the impact to a minimum.www.politico.eu