LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Baada ya aibu ya mizinga, makombora na drones zake kushushwa bila athari yoyote Israel zaidi ya kumjeruhi binti, Iran inahangaika kutafuta chochote cha kufuta hiyo aibu hadi inatumia picha za tukio la moto lililotendeka nchi ya Chile ambayo ipo mbali sana tena ni tukio la kitambo.

Kuna sehemu niliona wakioaminishana kwamba mamia ya raia wa Israel waliuawa jana, yaani tukio kama hilo ina maana Israel kote hakuna mvaa dera hata mmoja ambaye ana uwezo wa kuchukua video hata kwa simu kisiri.

Ukweli unabaki pale, kwamba Iran ilipigwa na majemedari wakauawa, yenyewe imejibu kwa kumjeruhi binti, makombora yake yote yameonekana kutokua na athari yoyote kwa Israel, kuanzia leo soko la mifumo ya Israel litaenea sana maana kila nchi itataka iwe na uwezo huo.

View: https://twitter.com/TimesofIsrael/status/1779427676505452787
 
attack kile mtu anaweza, ila kurusha makombora halafu yanadakwa kwa asilimia 99% ni huzuni sana. bora ungeishia kwenye mkwara tu manake sasaivi wameshajulikana uwezo wao umeishia wapi. na alipoona makombora yamedakwa, amekimbilia kusema mi sirushi mengine tena, inatosha. kwani yamemdhuru nani? hiyo ndio heavy price tulikuwa tunaisubiria?
Unafikiri watu wana akili za jipoyoto kama zako?

Soma kuhusu "decoys". Ukizielewa utaelewa kilichofanyika.
 
Bajeti ya kutengeneza vifaru vinavyozibuliwa na bunduki za tabata ya ghaza?

Au una macho lakini hayaoni?
Leo ngoja nikujibu kiustaarabu japo umekuja kichwa kichwa n utu uzima wako.

Hivyo vifaru mnavyosema vimezibuliwa ndio mpaka kesho hamuishi kuandika pray for Palestina yaan vimezibuliwa na bado waliovizibua wanaomba waombewe. Au ilimu uliyopata haijakusaidia. Ulienda skuli kusomea ujinga wewe?
 
Muisrael saizi yake vikundi kama Komando yosso cha mabibo miaka ile, masakara mob kawe ukwamani, mbwa mwitu msasani bila kusahau marehemu dangote wa kule Arusha na genge lake,,, ikiwa Hamas wanaotumia mawe na magobore mziki wake tumeouona ilivyomtoa chogo seuse iwe Iran wanaotengeneza silaha zao wenyewe watu wenye akili duniani,, ingekuwa ndo Hamas wamefanya shambulio lile basi asubuhi tungeona convoy ya vifaru, ndege na mbwembwe kibao kwa ajili ya kulipiza kisasi lkn kwa vile kakutana na mziki mnene, mpaka sasa bado wanajishauli pumbavu,,
 
Leo ngoja nikujibu kiustaarabu japo umekuja kichwa kichwa n utu uzima wako.

Hivyo vifaru mnavyosema vimezibuliwa ndio mpaka kesho hamuishi kuandika pray for Palestina yaan vimezibuliwa na bado waliovizibua wanaomba waombewe. Au ilimu uliyopata haijakusaidia. Ulienda skuli kusomea ujinga wewe?
Siyo Wapalestina tu, sisi tunasali kutwa mara tano, hata wewe tunakuombea utoke kizani.
 
Nadhani bajeti ni kubwa kulingana na kwamba kila mwaka anaingia vitani, pia ana deni kubwa la nje... So haiogopeshi
That means anaweza zaidi kijeshi na inawezekana deni la nje linatokana pia na uwekezaji wake kijeshi. If that is not enough to fear you you must have problem. Kama namba ya wanajeshi walio active ni ndogo kuliko Iran ila bajeti yake ya kijeshi ni kubwa kiasi hicho means anawekeza zaidi kwenye technology
 
Wairan wameshasema tena, ile jana ilikuwa tiisha toto, mkiendelea na mauwaji ya Wapalestina na sisi tutakuja kwa nguvu haswa, jana ilikuwa kuwaonya tu.

Iran yatoa onyo; Tunaweza kufanya mara 100 ya jana bila kutetereka, tunaelekea huko, jana ilikuwa ni kutimiza ahadi tu.

Matokepo ya jana yalikuwa mazururi kuliko tulivyotarajia.
 
Haihusiani na Palestina madam,
Leo tu Israel imepiga mabomu na kuuwa wapalestina wengi tu.

Mashambulizi yanahusiana na shambulio la Israel April 1, Damascus
 
Kwa sasa hivi ni bayana hakuna mfumo wa kiulinzi ambao ni bora kuzidi wa Israel, huu wa Israel utapata soko kote kote, shukrani wana wa Israel kwa kutuheshimisha humu maana tungepata aibu sana, hakungalika humu kwa tambo za wavaa dera., kweli nyie ni taifa teule, napata raha hadi naumwa...

Wale mnaosema iligharimu Israel USD 1b kujilinda wakati wa mashambulizi, mnasahau kwamba huo ni mtaji wa kuinadi mifumo yake Israel.

Mod msiungaishe huu uzi kule, humu tunajadili ubora wa mifumo ya Israel na soko lake....

======================

Iran tried to overwhelm Israel’s air defenses with five hours of missile and drone strikes overnight — but the offensive failed spectacularly.

Tehran targeted Israel with multiple waves of ballistic and cruise missiles, as well as explosives-laden drones, in retaliation for a deadly Israeli strike on Iran’s Damascus consulate earlier this month.

Despite the Iranian army claiming its blitz “achieved all its objectives,” the impact was small — minor damage was incurred at the Nevatim Air Base in the south of the country and a 7-year-old Bedouin girl was injured by fragments from an intercepted missile.

Nakaribisha povu wavaa deraaa!! brazaj
 
Mfumo wao wa ulinzi unahusisha Airfoce na Navy za US, UK, France na Jordan. Sasa sijui huo ufumo unakuja sokoni na hayo majeshi kama bundle/package?
 
Back
Top Bottom