Live coverage on JamiiForums
Kisasi cha Iran kinajulikana waajemi kwa visasi sio poa....Tayar US anakumbuka what happened in 2020 kipindi bases zake zinapigwa na Muiran na US akaufyata
Kasimu Selemani?
 
Hii Mkwara tu hakun Vita hapa.
 
[emoji599][emoji599][emoji599]Update: Iran demands Permanent Ceasefire in Gaza, or else!!! Reports that Iran has informed the US and Israel that they will postpone their attack on Israel if the IDF halts all operations inside Gaza!! Is this why Israel withdrew from Gaza??[emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji599]Update: Our military only needs 400 seconds to respond to Israel!”

- Iranian media
 
[emoji599]Update: Iran threatens US…. Ceasefire immediately, or else….
 
Safari ya maafisa wa Iran huko Oman leo usiku ndo yameleta hili jambo[emoji1313][emoji1313]

[emoji1130][emoji2731][emoji1190][emoji777][emoji631][emoji1134] BREAKING: Iran has reportedly communicated to the United States, through the Sultanate of Oman, that the Islamic Republic intends to directly strike Israel unless the U.S. guarantees an immediate & permanent ceasefire in Gaza with no ground invasion of Rafah [emoji1193]

[emoji821] Sources to Jadeh Iran
 
I hope Iran hataingia kwenye huu mtego, hii vita itakuwa ya US na ndio wanachotaka, US wako tayari kumnyeshea za kutosha na Wana hasira naye tangu Ayatollah achukue nchi miaka ya 70, na wanajua wakiweka kibatraka wao Iran, Middle East itakuwa koloni lao na ndio wanachotafuta, kama Saudi Arabia, Kuwait, Iraq etc Nini kimebaki?
 
Hao wote ni sawa na hapa Tanzania ukitaka kugombea ubunge uungwe mkono na PPT maendeleo, Tadea, TLP,UDP. jiulize kama utashinda dhidi ya CCM.

Note. Israel na Marekani ndio CCM.
 
Tatizo kubwa lililoko Irani ni kuwa serikali ya Kiislamu haiungwi mkono na raia wengi; iko madarakani kwa mabavu tu. Ikishajiingiza kwenye vita, inaweza kusababisha maasi ya ndani yakapata joto zaidi. Ukipata wanafunzi wa kutoka Iran huwa hawarudi tena irani na huwa wanaisema vibaya sana serikali ya Kiislamu
 
Hao wote ni sawa na hapa Tanzania ukitaka kugombea ubunge uungwe mkono na PPT maendeleo, Tadea, TLP,UDP. jiulize kama utashinda dhidi ya CCM.

Note. Israel na Marekani ndio CCM.
Mkuu katika wote hao Yemen (Houthi) nawakubali sana. Wangekuwa na uwezo alionao Iran wangeisumbua sana Mashariki ya Kati. Jamaa wana Determination ya hali ya juu.
 
Israel irudi kwao Germany
 
Iran kwa propaganda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Israel wameondoa vikosi vyao kusini wameacha brigade moja, wanajiandaa kumalizia op ya mwisho hapo Rafah.

Marekani tangu mwanzo imekua ikiisihi Israel isifanye ground invasion Rafah jamaa yenu Iran aache kudandia treni kwa mbele.


View: https://youtu.be/cmHpcWZjxe0?si=baox1LlyGldx8qfE
 
Wanajifariji tu hawa waajemi.
 
Serikali zote hata sisi tunasema yetu
..huwezi kuridhisha kila mtu ..sisi kila siku kilio ni CCM imekosea hapa imeshindwa huku imeshindwa kwenye hili au lile .Ni kawaida hayo.

Iran inaonekana ya kidikteta kwa kuwa haina utii kwa marekani Jiulize Iran na Saudia nani Dikteta mbaya lakini Saudia haisemwi mana ina utii kwa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…