mfadhili wa ugaidi duniani ni marekani...huwezi elewa hii mpk walau uwe na C tatuNajiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Umelishwa matango pori, fanya research vizuri, gaidi number moja duniani toka vita kuu ya pili ya Dunia ni Marekani umefadhili mauwaji mengi sana na kupindua nchi mbalimbali duniani. Mfano waliuwa na kupindua Patrick Lumumba Congo, Nkwame Nkrumah wa Ghana, Gadaf wa Libya, Saddam wa Iraq, uko south America ndo acha kabisa. Syria walitaka kupindua , Putin kaingia kati na bado yuko pale anaiba mafuta ya Syria na Iraq. Iran anasaidia wale kuchukuwa ardhi yao toka kwa Israel.Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Wenye D 2 za O level katika ubora wao.Mimi Naamini Iran ana muda machache sana wa kuenedelea kuishi katika neema hii aliyonayo sasa hivi.
Kuna mabilioni mengi sana yanapotea sababu ya Iran kufadhili magaidi ikiwemo Houth wanaopiga meli.
Sasa muda unakuja ambapo lazima ale kichapo ndio ugaidi itaisha
Rule namba moja ya muislam,waislam wote ni ndugu,take a note on thatNajiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Wanaishia kupopolewa kama maembe. Poor IranIshu ni kuwa Iran inatafuta namna ya kuweka vibaraka wao kwenye mataifa ya middle east.
Sasa uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana.
Afu Kuna ishu ya shia na suni. Iran wao ni shia. Ukiangalia vikundi vyote ni shia.
Ndo maana nchi zingine kama wasaudi hawawezi kukaa meza Moja na Iran maana nao ni suni.
Iran inajaribu sana kuangusha utawala wa Saudi Arabia.
T14 Armata
Usilete mada za Kkisenge hapa, kwanza lete tafsiri ya neno gaidi, hilo jina lilikuja kwa chuki dhidi ya waislamu na kupewa jina baya kama hilo lakini kama tafsiri yake ni muuaji hata wewe unaweza kuwa ni gaidi no.1, US na swahiba zao lakini na Netanyahu ana warrant ya kukamatwa kutoka ICC kutokana na mauaji ya halaiki, yeye na Hitler hawana tofauti, juzi bunge la UN alipoingia yeye kuhutubia wajumbe walitoka kwenye ukumbi kumpisha na kumkimbia muuaji.Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Marekan anazagaza Kambi zake za kijeshi duniani Ili apate nini?. Lengo Hilo la Marekan ndio lengo la Iran mashariki ya kati, kwa muundo tofauti.Hilo swali lako litawachukiza wale wanaofikiri tofauti na wewe kuhusu suala la ugaidi wa Iran.
Umeshawahi kusikia ule usemi kwamba: "One man's terrorist is another man's freedom fighter?"
HAMASI mbona ni SUNI?.Ishu ni kuwa Iran inatafuta namna ya kuweka vibaraka wao kwenye mataifa ya middle east.
Sasa uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana.
Afu Kuna ishu ya shia na suni. Iran wao ni shia. Ukiangalia vikundi vyote ni shia.
Ndo maana nchi zingine kama wasaudi hawawezi kukaa meza Moja na Iran maana nao ni suni.
Iran inajaribu sana kuangusha utawala wa Saudi Arabia.
T14 Armata
PumbafuNajiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Israel inabidi awe makini anapopigana na Iran, kwasababu kuna majority kubwa ya Iranians wanao-support Israel na kuipinga serikali ya Ayatollah"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.