LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
mfadhili wa ugaidi duniani ni marekani...huwezi elewa hii mpk walau uwe na C tatu
 
Mimi Naamini Iran ana muda machache sana wa kuenedelea kuishi katika neema hii aliyonayo sasa hivi.

Kuna mabilioni mengi sana yanapotea sababu ya Iran kufadhili magaidi ikiwemo Houth wanaopiga meli.
Sasa muda unakuja ambapo lazima ale kichapo ndio ugaidi itaisha
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Umelishwa matango pori, fanya research vizuri, gaidi number moja duniani toka vita kuu ya pili ya Dunia ni Marekani umefadhili mauwaji mengi sana na kupindua nchi mbalimbali duniani. Mfano waliuwa na kupindua Patrick Lumumba Congo, Nkwame Nkrumah wa Ghana, Gadaf wa Libya, Saddam wa Iraq, uko south America ndo acha kabisa. Syria walitaka kupindua , Putin kaingia kati na bado yuko pale anaiba mafuta ya Syria na Iraq. Iran anasaidia wale kuchukuwa ardhi yao toka kwa Israel.
 
Mimi Naamini Iran ana muda machache sana wa kuenedelea kuishi katika neema hii aliyonayo sasa hivi.

Kuna mabilioni mengi sana yanapotea sababu ya Iran kufadhili magaidi ikiwemo Houth wanaopiga meli.
Sasa muda unakuja ambapo lazima ale kichapo ndio ugaidi itaisha
Wenye D 2 za O level katika ubora wao.
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Rule namba moja ya muislam,waislam wote ni ndugu,take a note on that
Kingine wamagharibi wanataka waaminiwe kua hata wakimpiga ni kweli amefanya,kimbuka enzi za Saddam Hussein,hakua na silaha za nukria but walikua hawamoendi so they have to find a word kumsema ni mtu mbaya sana duniani ili iwe sababu baadae wanakuambia it was wrong.
So hata haya yanayosemwa m.kati kuna mengi siyakweli kwakua tunasoma from wanaosema wameshinda but the other side hakuna usibitisho kinachosemwa
 
Ishu ni kuwa Iran inatafuta namna ya kuweka vibaraka wao kwenye mataifa ya middle east.
Sasa uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana.
Afu Kuna ishu ya shia na suni. Iran wao ni shia. Ukiangalia vikundi vyote ni shia.
Ndo maana nchi zingine kama wasaudi hawawezi kukaa meza Moja na Iran maana nao ni suni.
Iran inajaribu sana kuangusha utawala wa Saudi Arabia.

T14 Armata
Wanaishia kupopolewa kama maembe. Poor Iran
 
Najiuliza Iran kufadhili Ugaidi duniani mfano vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah na Houthi. Wananufaikaje?
Usilete mada za Kkisenge hapa, kwanza lete tafsiri ya neno gaidi, hilo jina lilikuja kwa chuki dhidi ya waislamu na kupewa jina baya kama hilo lakini kama tafsiri yake ni muuaji hata wewe unaweza kuwa ni gaidi no.1, US na swahiba zao lakini na Netanyahu ana warrant ya kukamatwa kutoka ICC kutokana na mauaji ya halaiki, yeye na Hitler hawana tofauti, juzi bunge la UN alipoingia yeye kuhutubia wajumbe walitoka kwenye ukumbi kumpisha na kumkimbia muuaji.

Musibebeshwe maneno na kulishwa kutoka nchi za magharibi na US mkaja hapa na ku-provoke, sasa kama unaunga mkono hao jamaa zako unaonaje kuhusu upinde na wewe unaunga mkono hao mabaradhuli
 
Hilo swali lako litawachukiza wale wanaofikiri tofauti na wewe kuhusu suala la ugaidi wa Iran.

Umeshawahi kusikia ule usemi kwamba: "One man's terrorist is another man's freedom fighter?"
Marekan anazagaza Kambi zake za kijeshi duniani Ili apate nini?. Lengo Hilo la Marekan ndio lengo la Iran mashariki ya kati, kwa muundo tofauti.
 
Ishu ni kuwa Iran inatafuta namna ya kuweka vibaraka wao kwenye mataifa ya middle east.
Sasa uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana.
Afu Kuna ishu ya shia na suni. Iran wao ni shia. Ukiangalia vikundi vyote ni shia.
Ndo maana nchi zingine kama wasaudi hawawezi kukaa meza Moja na Iran maana nao ni suni.
Iran inajaribu sana kuangusha utawala wa Saudi Arabia.

T14 Armata
HAMASI mbona ni SUNI?.
 
"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.

Chanzo Taarifa: Al Jazeera News

Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.

Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.

Kudadadeki.
 
Israel inabidi awe makini anapopigana na Iran, kwasababu kuna majority kubwa ya Iranians wanao-support Israel na kuipinga serikali ya Ayatollah
 
Vita inayoendelea mashariki ya kati ina hali tata, IKO KISIASA NA KIDINI, kushabikia mauaji hii si sawa, sisi kama watanzania tuyaangalie haya yanayotokea kwa nchi za wenzetu kwa tahadhari kubwa , huku tukiyapinga yasije tokea kwenye nchi yetu,,,, kila mtu abaki na imani ya dini yake bila chuki,
 
Back
Top Bottom