Wewe ni Myahudi? Maana kila taifa linatetea watu wa imani yake. Israel anaweka wazi kwamba anapigana vita kulinda watu wake ambao kiimani dini yao ni Uyahudi."Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
Wewe ni Myahudi ama Muislamu wa Israel?"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
Vipi huyo Rais angesema Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Mapopoma wote! Nahisi ungekenua mpaka mapengo yako yote yangeonekana!"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
1. Kwani wa-israel ni wakristo?"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
Rubbish and Nonsensical.Mwanzisha mada huna hoja. Mimi ni mkristo lakini siungi mkono hoja.
Huyo Rais katumia uislam kama common denominator, ndio kitu pekee kinawaweka pamoja sana kuliko mengine. Hata hapa upinzani Kuna wakati wanaungana dhidi ya chama tawala.
Pili ni kweli kwamba baadhi ya historia inayowaunganisha waislam ipo eneo la vita na vinatishiwa kifutika hivyo kulikua na sababu ya kufanya hivyo.
Mwisho organisation onayowaunganisha wote middle East ni Uislamu hivyo kuitumia sio shida.
Kwa nini nasema sio shida hii ni vita ya sovereignty yao na sio vita ya udini.
Kila taifa linahaki ya kuwepo, kuheshimiwa na mipaka yake, watu wake na hata kuishi. Hivyo Kila mmoja anatetea mipaka yake na kuheshimiwa na maifa mengine. Hakuna vita ya udini
Aisee umemaliza kabisa bro..1. Kwani wa-israel ni wakristo?
2. Kwani Hizi nchi anazipigania Iran hazina wakristo??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Endelea na kilimo cha bamia tu. Watumwa wa dini mnavuruga dunia kwa ujinga ujinga. 🤣🤣🤣🤣"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
Hauna Akili...Kama waliokuzaa.
Sure man.. nimeDeletePotezea mazee ukiwatukana wazazi wa mtu mwingine ni sawa na kuwatukana wazazi wako tu hapo vitu vidogo muwe mnapotezea tu wala hakuna kesi..mida ya kusali hii ili mambo yaende ninyi mnatukanana tena kwa kukanyaga katiba.
Ngoja na mimi ni delete tu.Sure man.. nimeDelete
Hakuna uhalali wa kuua waislamu au wakristo"Usalama wa Ukanda wetu huu ni muhimu kwa Waislamu wote" amesema Rais wa Iran muda mfupi.
Chanzo Taarifa: Al Jazeera News
Na ndiyo maana Wakristo wote wenye Akili Kubwa duniani tuko nyuma ya Israeli na tunataka Israeli izidi Kuwamaliza.
Na Mimi GENTAMYCINE nasema Usalama wa Ukanda wa Mashariki na Kati ni wa Wakristo wote duniani nami nikiwemo.
Kudadadeki.
Watu wa Israel hawana dini Kila mtu ni sw , ila Kwa waarabu dini ya kiserikali ni uislamWewe ni Myahudi? Maana kila taifa linatetea watu wa imani yake. Israel anaweka wazi kwamba anapigana vita kulinda watu wake ambao kiimani dini yao ni Uyahudi.
Umeona mbali sana. Ukiangalia kwa mbali ni kama tumechelewa kuchukua tahadhari!!!Vita inayoendelea mashariki ya kati ina hali tata, IKO KISIASA NA KIDINI, kushabikia mauaji hii si sawa, sisi kama watanzania tuyaangalie haya yanayotokea kwa nchi za wenzetu kwa tahadhari kubwa , huku tukiyapinga yasije tokea kwenye nchi yetu,,,, kila mtu abaki na imani ya dini yake bila chuki,
Hujui lolote. Dini ya kwanza kwa ukubwa Israel ni dini ya Uyahudi ikifuatiwa na Uislamu halafu vinakuja muunganiko wa vidini vidogo vidogo.Watu wa Israel hawana dini Kila mtu ni sw , ila Kwa waarabu dini ya kiserikali ni uislam
Hizi propaganda za blackmailing ni za western media zinazo dakiwa na puppets en ignorant Africans kama wewe, unaweza uka djibitisha uhalali wa hizo pisha, acha kudandia propaganda za mabepari kijana.....Mungu huyu huyu ndie alie waruhusu kutoboa waandamanaji macho
View attachment 3113800
Mungu huyu huyu ndie aliwaruhusu kunyonga yoyote anae criticize serikali
View attachment 3113806
Mungu huyu huyu ndie aliewaruhusu kuua mabinti kisa tu wajafunika nywele zao.
View attachment 3113812
Mungu huyu ndie aliwaruhusu kuunda na kufadhiri vikundi vya kigaidi vinavyosababisha vifo duniani.
View attachment 3113823
Mimi nadhani mna Mungu wenu binafsi kama sio basi mnatumia kivuli cha Jina la Mungu wa kweli ili ku-glorify na ku-decriminilize ugaidi wenu.