Live coverage on JamiiForums
 
Nyie imbeni kwaya eti Israel atashambulia Nuclear site, Iran leo katest Nuclear kisha kuwa na Nuclear official.
 

Naona war mongers baada ya Putin kuwaangusha mno:



Sasa mko mashariki ya kati mna bet.

Mshindwe na mlegee, kwa jina la Yesu!

imhotep FYI.
 
Awa tim jehova w bongo. awapendi ukweli wao wanataka wasikie tu Iran kunawaka moto ili waje kusifia Israel kila sifa yani uko walipo wanakiu mbaya pesa ya bando ipo tayali lkn chakuandika apa awana so Israel inavyochelewa kupeleke mauwa tehran ndio nao wanazidi kupank wanataka tehran kuwake. nao waje wakiwashe apa😂😂😂 kobaz watimue mbio wwbaki wao wakitetema kiyuhani wawapongoze jamaa zao.😂 sasa kunabadhiyao tim jehova nao si wanajua kiuu za wenzao ndio awa wanawaletea chai na makopa y miogo lkn jehova wanashangilia wanawapa kaawa na kitumbua wao sawa tu. Akitokea kina sisi tukioji mbona mnawapa wenzenu chai n makopa. badalayake wanatushambulia sisi mm mwenyewe nimechuniwa n mwajuma wangu . Tangu ile siku Israel kumewaka ety kosa nilimuongepea kuwa Israel apigiki so ugomvi utaisha tu akiona live tehran kunawaka moto. Mniombee jamani
 
Sijakuelewa! Kwamba Marekani akipigana na Iran,Iran atashinda kwa kuwa yuko vzr ki technology au? Kwa maneno mengine Marekani anamwogopa Iran sio?
 
Baada ya Israel kutangaza ipo mbioni kushambulia Iran kama kisasi baada ya Israel kupigwa makombora 200 na Iran wiki moja iliyopita, jeshi la Iran limetoa kauli rasmi kua lipo tayari kushambulia Israel maradufu na haitaacha kuwafunga mkono Hezbollah ndani ya Lebanon na HAMAS upande wa Palestine.
 
Kwahiyo amekili wazi kwazi kwamba anafadhili magaid ndo maana prince Salman wa Saud amekaa kando na hawa watu
 
Sitegemei kuona shambulio lolote la maana la Israel kwenda Iran ikiwa USA hajakuwa tayari kuingia vitani na IRAN.Tukumbuke IRAN ameonyesha uwezo wa kupiga ISRAEL targets kwa usahihi mzuri kabisa.Uharibifu wa makombora ya juzi ni ukumbusho makubwa yanaweza kuwatokea.Tukumbuke IRAN wana maelfu kadhaa ya makombora ya Hypersonic ambayo hayazuiliki na yana destructive power kubwa zaidi ya hizo ballistic missile za juzi.Hivi ingekuwa na IRAN na wao wanapiga hovyo kwenye makazi ya watu ,ile juzi maelfu mangapi ya raia wa Israel wangeathirika?Israel na western media walijaribu kuficha ukweli na kudanganya mabomu yalizuiwa lakini TIK TOK ikawaumbua.Kuna raia wengi wa Israel walirekodi live makombora yakishambulia kambi za jeshi na makao makuu ya MOSSAD.Hata BBC ikabidi na wao waone aibu waende na ukweli halisi.Jionee mwenyewe.


View: https://www.youtube.com/watch?v=jdETV6WATa4&t=5s
 
Kitu pekee ambacho Israel ataweza dhidi ya Irani,ni kumfatilia mtu moja moja na kumuua-hana uwezo wa kuishambulia Irani maana siku akifanya hivyo ndio itakuwa mwisho wake kwenye ramani ya Dunia.
Wewe Umezaliwa Mwaka Gani? Ukumbuki Israel Alishawahi kushambulia vinu vya Nyuklia vya Irani? Au Ulikuwa Ujazaliwa?
 
We know Aljazeera wapo vitani na wao.. Qatar ndio wafadhiri wa Hamas and ndio wana say yote.. Israel anatakiwa aifumue na Qatar pia.. Israel hatakiwi kabisa kudeal na muslim countries hakuna anayempenda ipo katika quran kabisa.

Huo uongo wa Aljazeera na list ya kipumbavu wampelekee Allah... aandae makahaba kwenye ndanguro lake Firdaus .. The Pimp Allah
 
Abraham accords hairuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…